Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Kinjekitile: mheshimiwa Gavana Tunaomba tuandamane Gavana: Oh karibu Kinjekitile: Ahsante, kama ulivyosikia, tunataka tuandamane Gavana: Bwana Kinje...
1 Reactions
5 Replies
351 Views
Kutokana na mazingira na historia ya Zanzibar. Inastahili kuwa Makao Makuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Tigo someni mifano mingi ya kesi zinazohusisha uhalifu, teknolojia, na uwajibikaji wa kampuni ambazo zilishughulikiwa kwa mafanikio. Hapa kuna baadhi ya mifano maarufu: 1. Kesi ya "Blackberry...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Wajibu namba Moja wa Jeshi letu la Polisi nchini ni kuwalinda raia na Mali zao. Sasa inapotokea Jeshi hilo ndilo linalohusika Kwa kiasi kikubwa na kupotea Kwa raia nchini, wananchi wa nchi hii...
5 Reactions
17 Replies
953 Views
Tangu jana Tundu Lissu amekuwa akiwatuhumu TIGO kuwa walihusika kutoa nyendo zake kwa watu waliotaka kumuua kwa kumpiga risasi. Kwa mujibu wa Lissu Tigo ndiyo walifanikisha watu wasiojulikana...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ikifika Aprili 15, 2024 atawataja kwa majina Watu wakiwemo Mawaziri wanaotoa fedha za kuwalipa Watu ili wamtukane Rais Samia mitandaoni kama...
35 Reactions
453 Replies
29K Views
Kafulila anasema " Tatizo la ajira ni halisi lakini ni mtambukwa. Kuna wakati sekta binafsi ilikuwa inatafuta watu wenye sifa fulani inakosa wakati sokoni kuna wasomi bila ajira. Mtaala mpya...
13 Reactions
150 Replies
2K Views
Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini. Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu)...
19 Reactions
51 Replies
2K Views
Katika muktadha wa kisiasa nchini Tanzania, suala la maandamano linaibua hisia kali, hasa pale yanapohusiana na masuala nyeti kama vile utekaji na mauaji. CHADEMA imetangaza maandamano ya nchi...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi...
11 Reactions
107 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata...
0 Reactions
5 Replies
276 Views
Kama ikitokea mamlaka huru ikapiga hesabu ya pesa, nyenzo na muda vilivyotumika kuzuia maandamano ya maombolezo ya CHADEMA ya leo tar 23.09.2024 basi kuna watu wanaweza kuwajibishwa pakubwa...
8 Reactions
25 Replies
764 Views
Kwenye Biblia Takatifu kuna andiko husomwa mara nyingi kwenye misiba na hasa wakati wa Mazishi, linaandikwa hivi' Msitake kuzijua habari za waliolala mauti, maana mkizijua Mtasononeka, Sina hakika...
16 Reactions
53 Replies
2K Views
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Malawi imeilaumu Tanzania kwa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama. Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Picha na Maktaba Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano...
2 Reactions
7 Replies
606 Views
Historia ya maisha yako ya zamani tangu kuzaliwa, malezi na makuzi yako kiroho, kimwili, kielimu, kisiasa kijamii na hata kiuchumi ni Huruma ya Mungu tu. Na hata hapo ulipofikia hivi sasa ni...
1 Reactions
5 Replies
208 Views
Malawi questions Tanzania on port Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
WARAKA WA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN. Mheshimiwa Rais Awali ya yote ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Back
Top Bottom