Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm...
3 Reactions
22 Replies
587 Views
Ruvuma tuandamane ili tupate nn? 1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani. 2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote. 3. Lami mpaka ziwa Nyasa .
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo . CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
1 Reactions
14 Replies
366 Views
Kila ninapopita maeneo ya Oysterbay na kwingineko, naona maeneo ambayo yalikuwa nyumba za serikali yamejengwa maghorofa makubwa sana, na ninatambua wale walionunua nyumba hizo ni wazi waliziuza...
21 Reactions
79 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Kwa uonavyo nchi inavyokwenda unazungumziaje imani yako kisiasa na Rais tuliyenaye?
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Maana, bilashaka yoyote, kwa umoja na uzalendo ule wa kiwango cha juu sana walionyesha wanaChadema, mashabiki wake na wananchi wasio na vyama, kugoma na kutokuthubutu kuitikia wito wa Chadema wa...
1 Reactions
1 Replies
165 Views
Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi...
7 Reactions
73 Replies
7K Views
Anachofanyiwa Dangote na serikali ya Nigeria na viongozi wake ni masikitiko. Napata mashaka juu ya utimamu wa akili zetu. Baada ya kutokea mkombozi wa kiteknolojia [Huawei] China serikali ya...
7 Reactions
14 Replies
961 Views
Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
MAKAMU wa Rais, Dk.Philip Mpango amezindua chapisho la utafiti wa hali ya mazingira ya Pwani na Bahari Tanzania Bara huku akiagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)...
2 Reactions
10 Replies
430 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la...
10 Reactions
136 Replies
5K Views
Kumwaga damu imeanza kuwa tabia miongoni mwa viongozi wa Tz. Kuua watu kisiasa sio swala geni katika histiria ya dunia, ila huko nyuma sababu hazkusababishwa na kuhitilafiana kiitikadi, ilikuwa...
1 Reactions
0 Replies
198 Views
Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi. Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda...
110 Reactions
413 Replies
89K Views
November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu...
1 Reactions
19 Replies
616 Views
Tunaendelea na kampeni jamani hata kama muda haujafika.... wapinzani mpo? ===== Mwezi wa 11 tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, wenye sifa za kugombea wakagombee bila kuwekeana...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Heshima sana wanajamvi, Leo nimeamua kujigaragaza mavumbini na baadae kwenye matope,mchanga,maporini kwasababu Rais wangu kipenzi anapiga mzigo wa viwango vya juu sana. Nampongeza Rais wangu...
2 Reactions
3 Replies
373 Views
Watu Wengi wanadhani Makamanda wa Chadema waliufyata kuandamana na kimuacha Mwenyekiti Mbowe peke yake Ukweli ni kwamba Umakini mkubwa wa Jeshi la Polisi Ndio uliwafanya Makamanda wasifike...
2 Reactions
7 Replies
305 Views
JK awatibulia Wassira, Chikawe Filikunjombe asema wanapaswa kuwaomba radhi wananchi HATUA ya Rais Jakaya Kikwete kukutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na kuridhia muswada wa...
6 Reactions
68 Replies
9K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameondoka Unguja na kuwasili Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi Juni 09, 2024.
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom