Wanachama wa chadema wamekuwa wanakesha kwenye mitandao na kutaminisha kuwa wanasiasa tajwa ni mabilionaire ingawaje sina hakika kama wapo kwenye kundi wa mabilionaire walipa kodi pale TRA.
Pili...
Shida siyo content za Lissu alizokuwa anawasiliana na hao watu, shida ni kwa nini wamfanyie "Assassination Attempt" badala ya kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria kama kweli alikuwa anafanya...
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa...
Si kwa Tanzania tu bali ni dunia nzima, serikali imekuwa ikitumia mamlaka yao kufanya uovu kwa watu walio kinyume nao, wanasiasa, wanahabari, n.k.
Hakuna kampuni ya itaweza zuia agizo la serikali...
Hii ni taarifa ya Ntobi
Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu @IAMartin_ Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo...
Mining Watch Canada ni NGO inayo fuatilia maswala ya madini hasa ukiukwaji wa haki za bibadamu, rushwa na maswala mwengine. Hii NGO iko Canda na BARICK ni kampuni ya Canada.
Sasa Mining Watch...
Upendo wako na uzalendo kwenye familia unakuwaje ?
Baba kakupiga bila kosa kitu ambacho ni kibaya sana unaandika barua kwa muajiri wake aachishwe kazi au wakate gari lake la kusombea mkaa watoto...
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila...
Ni vema tukakumbushana kwamba siku kama ya leo miaka 4 iliyopita , Ndugu Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitangazwa na serikali ya Marekani kwamba anadhulumu haki za watu...
"Tulia RPC Muliro. Kwani shida iko wapi mpaka unikamate? Shida iko wapi? Watu wanatekwa, watu wanateswa. Watu wanaumizwa. Lazima watu wengine tusimame kuwatetea. Lazima tuseme. Lazima tusikike...
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu...
Poul Makonda ametuhumiwa na Tundu Antipasi Lissu kwa mara ya pili ya kwanza ikiwa ni katika moja ya mikutano yake huko Marekani alipokua akizungumza na watanzania waishio huko (Diaspora).
Na kwa...
Wasanii wa tamthilia maarufu ya Mawio nchini Tanzania Gabo, Barnaba na Sarah leo wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro na kupokewa na Mhe. Balozi Saidi Yakubu.
Wasanii hao walioongozwa...
Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.
Hii inakuja baada...
Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.
Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka...
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu wa 2024, kumekuwa na hali ya muamko mdogo miongoni mwa wanawake kuonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Hii inatokana na...
Kitendo cha vyombo vya kimataifa kuripoti maandamano haya kwa sura kwamba raifa sasa limerudi nyuma kwenye kiasi cha kulinganishwa na nchi za kidikteta ni jambo ambalo kama watanzania limetupa...
Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022..
Msingi...
Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.