Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndani ya mfumo wa CCM na hata serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamejazana viongozi/watendaji wasio na uwezo na hii inatokana na kutokuwepo vetting system inayoeleweka. Huwezi kujenga...
21 Reactions
74 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama Chake ======== Vyombo vya Kimataifa vyajazana Mikocheni, Moto umewaka.
15 Reactions
73 Replies
4K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa ameambatana na Mwenza wake Mama Sharifa Omar Khalfan wamerejea Zanzibar wakitokea Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi...
2 Reactions
7 Replies
709 Views
Kada wa CCM Mchungaji Msigwa amesema Mbowe alikwenda Magomeni kujikamatisha kwa Polisi siyo kuandamana Msigwa anasema ile ilikuwa ni Comedy iliyopangwa ndio Sababu Polisi alipomgusa bega Mbowe...
2 Reactions
18 Replies
587 Views
Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi? Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi...
0 Reactions
3 Replies
310 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki kuhamasisha Wananchi kujitokeza na kushiriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura. "Wanawake jitokezeni...
1 Reactions
2 Replies
188 Views
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni...
49 Reactions
448 Replies
29K Views
Enzi za utawala wa giza, Huyu Paul Makonda alituhumiwa kuwa hana vyeti bali jina lake halisi ni Albert Bashite, Aliosoma nao shule kijijini na hata wazazi wake wa kumlea wanamwita Albert Bashite...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
👉 Ardhi ni nini? 👉 Nani anasitahili kuilinda ardhi ya visiwa vya Zanzibar? 👉 Mmiliki ni nani? 👉 Nani anaweza kumiliki? Kila nchi Duniani ina ardhi yake huenda matumizi ya ardhi katika kila...
0 Reactions
4 Replies
330 Views
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi. Taawili Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia. Je ni...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road) Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo...
13 Reactions
97 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ameachiwa kwa dhamana usiku huu katika kituo cha Polisi Oysterbay ambapo alikuwa akishikiliwa na Polisi. Mbowe akiongea nje ya Kituo cha Polisi amesema...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
Leo nimepita Mahali fulani nikasikia Gari la matangazo la jeshi la polisi likihamasisha wananchi kujitokeza uwanjani kushiriki michezo na kukaa pamoja kufichua uharifu na mambo mengine. Nacho...
1 Reactions
5 Replies
255 Views
Salam Wakuu, Aisee tunawasema akina Mwijaku kila mara kuwa chawa utafikiri hawana ubongo, kubwa zaidi ni viongozi wa CCM. Aisee, na Rais anashukuru kabisa, kukubali yeye kajenga miradi, yeye...
0 Reactions
16 Replies
704 Views
Hawa Jamaa ilikuwa Kazi Kazi hakunaga Siasa wala umbwiga Kwa sasa bado tunaye Dr Kigwangalla pale bungeni anaweza kurudi kama Waziri kamili kuokoa jahazi Ahsanteni sana 😄
1 Reactions
1 Replies
260 Views
Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe. Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi. 1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani...
24 Reactions
75 Replies
5K Views
Wakuu, Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti? ==== Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Back
Top Bottom