https://www.youtube.com/watch?v=i0jHmbJVjS4
Akizungumza wakati anazindua jengo la ofisi y mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Rais Samia amewataka viongozi wa Halmashauri hiyo kutumia...
Kama mnategemea mkuu wa mkoa wa dar atatumbuliwa mtasubiri sana si leo wala kesho labda kesho kutwa, na hata kama itatokea itakuwa kwa kupangiwa kazi zingine ili kusubiri upepo upite.
Mnafikiri...
Mungu wa mbinguni ana Njia zake za Kukurejeshea wala hautumii Nguvu yoyote
Nikurejeshee 🌹
Kesi ikiisha London Tundu Lisu anaingia Mahakama kuu ya Tanzania kudai Fidia
Mungu wa mbinguni ni...
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuwa linaelekea...
Embu Watanzania wenzangu tuchukue wasaa kujikumbusha mafundisho muhimu sana yaliyopo katika hadithi ya Daudi, Mwana wa Yese. Naweza kuandika volume ya vitabu kuhusu hadithi ya Daudi na mafundisho...
Wakuu,
Hivi kwanini tunaendelea na kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwa wanasiasa ambao baadae wanakuja kushika nafasi kubwa ambazo zinahitaji mtu awe na upeo na mkubwa?
Huku ndio tunapata...
Ndugu zangu watawala, hali ilivyo sasa katika Nchi yetu si nzuri sana kimahusiano.
Umoja,upendo na amani vinaweza kupotea kutokana na uzembe mdogo mdogo wa watu wachache.
Juzi katika harakati za...
Anonymity siyo warrant ya kuvunja sheria/kutukana, kuzusha habari za uongo and the like!
Anonymity ni fursa ya kutoa mawazo yako ya haki na kweli ambayo madikiteita hawataki kuyasikia ili...
Yapo Makanisa mengi na Misikiti mingi lakini kimbilio limekuwa Kanisa Moja Takatifu La Mitume yaani Katoliki
Ni kwanini hasa?
Tumeshuhudia Katibu Mkuu wa Chadema mh Mnyika akiomba Hifadhi...
Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara...
Polisi haya mnayoyafanya, , ya kumsaidia samia kuiuza Tanganyika, kuiharibu Tanganyika, muungano huu ukivunjka na ikawa serikali tofauti na CCM, hamtakimbilia zanzibar...you will never be...
Salamu kwenu wanaCHADEMA
Nakupeni pole na kuwapa pole wabongo wenzangu kwa matendo ya utekwaji na mauaji ya wananchi wasio na hatia. Kwa kweli nchiyetu kwa sasa hali inatisha, ombea usiingie...
Hebu nielimisheni, watu wanatakiwa kwasababu gani? Maandamano yanatoka wapi kuelekea wapi? Nani atayapokea maandamano na Hatima kabisa ya maandamano ni nini?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid...
Juzi akiwa katika jukwaa la mjasiliamali na mfanyabiasha wa neno la Mungu Mwamposa huko Arusha Bashite alisikika akiwakemea viongozi wa dini wanaotoa matamko ya kupinga utekaji na mauaji katika...
Dr.Lilian Mtei (mke wa Freeman Mbowe) ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya upumuaji katika hospitali ya taifa Muhimbili, amekamatwa akielekea kazini asubuhi ya leo. Dr.Lilian ambaye pia ni...
Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi...
Kuna "contradiction" ya hili neno amani namna inavyotafsiriwa na hawa watawala wetu, wakati mambo yanayoendelea hapa nchini, mara Kwa mara tunawasikia watawala wakirudia msemo huu wa kuwaomba...
Watu wengi wanapotea kwa taarifa kua walichukuliwa, waliitwa ama kukamatwa na Polisi ilihali maiti ikiokotwa sehemu kadhaa, na imefikia hatua Halmashauri ya Mkuranga kutangazwa kazi ya kuzika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.