Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais Samia akizungumza na wananchi wa Peramiho amesema kuwa Sera ya CCM ni wananchi waishi maisha ya amani na kuwe na utulivu wa kisiasa wananchi waweze kufanya mambo yao kwa raha kabisa, hayo...
1 Reactions
8 Replies
436 Views
Kuna mazuri mengi sana ya demokrasia pamoja na kupigwa watu wanaishi pamoja kwa raha na kujali nchi. Raisi wetu imebidi amtume Majaliwa kwasababu ya kuogopa maandamano huko NY. Mwenzake mfano Ruto...
3 Reactions
11 Replies
374 Views
CHADEMA leo ijumaa imewasilisha taarifa ya Maandamano ya Amani tarehe 23 SEPTEMBA, 2024 kama sheria inavyoelekeza. Yaonyesha njia, ajenda na hitimisho litakuwa wapi. Watimiza masharti ya...
15 Reactions
133 Replies
6K Views
🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU. Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September...
2 Reactions
4 Replies
762 Views
Wadogo zangu vijana wa Kitanzania habari zetu. Mimi ni kijana mkubwa 40+ na napenda niwaandikie barua kutoka moyoni kwangu kwa ninayo yaona miaka hii na kwa nchi yetu ya Tanzania. Mambo nitakayo...
21 Reactions
19 Replies
1K Views
Sijajua Msikitini ila makanisani Ibada siyo rahisi ikamilike bila kumtaja Shetani Sasa kama tunaenda kumwabudu Mungu wa Mbinguni Kwanini Shetani anatajwatajwa? Maana yake Shetani ana nguvu "...
2 Reactions
9 Replies
311 Views
Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini...
3 Reactions
11 Replies
344 Views
Ndugu zangu viongozi na viongozi watarajiwa, Hii nchi yetu pedwa haitabadilishwa na viongozi wa sasa ambao wamefundishwa kufanya kila wafanyanalo kuhudumia viongozi wenzao badala ya kuhudumia...
2 Reactions
2 Replies
286 Views
Kulikuwa na haja gani kwa jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kufanya gwaride nchi nzima kwa mwezi mzima, na kutumia silaha za kivita kuja kumkamata Mbowe asubuhi na kumwachia jioni. Upuuzi...
6 Reactions
11 Replies
727 Views
Mbowe alikuwa anasema asubuhi hii watakwenda kwenye ofisi yao ya Mikocheni lakini polisi wapo pale. Video zipo YouTube.
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Ni wazi chairman na msaidizi wake Taifa hawana tena mawazo mapya wala fikra mbdala kuiongoza chadema ikapiga hatua au kufanikisha chochote kisiasa. Taasisi imekuwa haina mipango mikakati...
2 Reactions
25 Replies
781 Views
Ni Taarifa Kutoka Tanga kwamba mkutano wa Chadema uliokuwa uhutubiwe na Tundu Antipas Lisu umepigwa Marufuku --- Jeshi la Polisi limezuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa na Chama cha...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni...
11 Reactions
161 Replies
4K Views
Tofauti za nchi kupata uhuru hujenga fikra za wananchi kuwa wakitaka jambo wafanyaje Nchi zilizopata uhuru kwa vita wananchi wake majority huamini kuwa kupata haki lazima mabavu yatumike vita...
1 Reactions
18 Replies
426 Views
Uhuni ni tabia ya watu kufanya jambo kwa kupuuzia kanuni zlizowekwa na jamii husika. Kwenye siasa kuna kanuni ya kuheshimu watu unaowaongoza, angalau kwa vitendo Lakini kwa Afrika wanasiasa...
1 Reactions
3 Replies
205 Views
John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Hasara za Kuwa na Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu 1. Mamlaka Yaliyogawanyika: - Kunaweza kuwa na mkanganyiko wa mamlaka kati ya Rais, Waziri Mkuu, na Naibu Waziri Mkuu, ambayo inaweza...
1 Reactions
6 Replies
508 Views
Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA. Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa...
7 Reactions
128 Replies
5K Views
Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa? Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya...
12 Reactions
102 Replies
2K Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Back
Top Bottom