Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi...
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika.
Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia.
Wale...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongozi...
Rais Samia Januari 2023 wakati akizungumza na viongozi wa vyama vya kisiasa, katika kikao kilichofanyika katika Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa tamko la kuruhusu shughuli...
My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kukuza Kiswahili na kufungua fursa Kwa Watanzania 👇👇
---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inatarajia kufungua vituo 100 vya kufundisha lugha ya...
Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na...
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.
Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.
Alipoulizwa sababu ya...
"OCD wa Tanga mjini nimemwambia Taarifa yetu ya Mikutano ya Hadhara tuliyowapa ina mikutano kuanzia Tar 10 hadi 24 Sep. Nikamwambia sisi tutaendelea na mikutano yetu 21 na 22 kwa kuwa HAIJAZUIWA...
Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili...
Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko...
Mama ni mlezi,mama ni mfariji na mama ni mwenye huruma.Mama huwa mpole na mnyenyekevu.Huyu amekuwa kama mfalme wa wamoabi,mbabe na si mama.Namkataa na mabavu yake yote,mimi si mama yangu.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.anaendelea kuonyesha upendo wake kwa viongozi wa Dini na namna alivyokaribu na watu...
Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA
Sehemu ya Uendeshaji na Usalama wa...
Naangalia hapa Al Jazeera news naona wanatumia Muda mwingi kuelezea habari za maandamano ya Chadema yaliyofeli
Kilichonikera ni kutumia picha za kampeni za Tundu Lisu za mwaka 2020 kana kwamba...
Hii ni sehemu muhimu ya majadiliano kwenye siasa za Tanzania. Katika muktadha huu, kuna umuhimu wa kuzingatia mazungumzo kati ya serikali na vyama vya upinzani, kama CHADEMA, ili kupunguza mvutano...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna watu wanauliza Wafuasi wa Mbowe(Wanachadema) walikuwa wapi wakati kiongozi wao anakamatwa na Askari pale kwenye Magomeni.
Wapo wapi anaowapigania?
Wapo...
Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika...
Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.
Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali...
Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.