Akiulizwa swali na Mwandishi wa habari kuhusu kuwepo na wimbi kubwa la askari walioshikilia silaha za moto mitaani tofauti na ilivyozoeleka, Kamanda wa Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia...
Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara...
Niliandika majuzi kuwa upepo wa kisiasa hausomeki kwa sasa. Wengi tulipata amani wapinzani walipoonyesha ushirikiano na chama tawala na serikali yake.
Sasa naona upepo umebadilika kabisa, uhasama...
Fuatilia mbashara hapa
RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli.
Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano
Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA
Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana...
Tanzania ni kisiwa cha AMANI NA UTULIVU duniani. Tukiharibikiwa hatuna pa kukimbilia - majirani zetu wote wako ktk maisha ya mshikaki.
Wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakitangaza mfululizo...
Serikali ya awamu ya 4 ilijaribu kulitikisa KANISA na kulitaka liwe linapeleka nyaraka zake serikalini ili zipitiwe kabla ya kuzisoma kwa waumini wake. Nakumbuka kupitia kwa Cardinal Pengo KANISA...
21 September 2024
Ulinzi umeimarishwa jijini Dar es Salaam huku magari ya polisi yakionekana yakizunguka kuweka ukuta wa kufikirika
https://m.youtube.com/watch?v=IJgCHuVI4dA
Tanzania ni nchi ya...
https://youtu.be/BKZ7ifz7408
1. Utangulizi
Akiwa katika Chuo cha Polisi Tanzania kilichooko mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, mnamo tarehe 17 Septemba 2024, Samia Suluhu Hassan, alivaa kofia zake...
Ama kweli ule msemo wa ''ningejua urais uko hivi nisingechukua fomu'' una maana kubwa nyuma yake.
Urais una mengi sana...urais ni kama vile hali ya vita ambayo maadui wanatokea ndani na nje ya...
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninao ushauri huu kwa Mh Rais wangu Samia Suluhu Hassan.
Ushauri wangu ni kuwa afanye utaratibu wa kisheria wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania...
Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu.
Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani...
Wakuu,
Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na...
Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.
Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni...
Salaam, Shalom!!
Hii ni Rai yangu ndugu Makamba, changamkia fursa Ili tupeleke walimu wa kiswahili ambao hivi sasa ni hotcake huko duniani.
Tanzania ndio Nchi pekee yenye watu wengi wenye...
Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao...
Yaani kuna baadhi ya mambo ni sawa na Baraka tu au nasema uwongo ndugu yangu Lucas Mwashambwa? 😀
Kwako sasa, father Chawa, mother Chawa and Luca Chawa Mbobezi 😂😂😂
Natania tu Dogo
Karibu ulasi 😄😄😄😄
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.