Rais Mstaafu Mzee Kikwete ameshiriki Siku ya Maji huko New York nchini Marekani
Dr Kikwete ni Mwenyekiti wa Global Water Partnership Barani Africa
=====
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya...
Leo amesikika Rais Samia akisema kuwa aliruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Hiyo sentensi moja tu inamaanisha Rais Samia hajui katiba inasema nini juu ya mikutano ya vyama vya siasa?
Mikutano ya...
Freeman A. Mbowe:
"Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu...
Chanzo cha picha, Ikulu ya Tanzania
Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu HassanMaelezo kuhusu taarifa
Wachambuzi wa siasa wameonesha kushangazwa kwa kiasi fulani na ukosoaji wa Rais Samia Suluhu...
Kwani, watu wa mitandaoni siyo watanzania? Rais Samia amejiongoza vibaya!
Nani anamdanganya Rais wetu Samia? Kama Rais wetu hajadanganywa, kwanini ameamua kujiongoza mwenyewe vibaya katika hili...
Salaam,
Karibu kila mahali, wanasiasa wa upinzani africa, walipopata nafasi ya kuingia madarakani, walivurunda kuliko waliokua wanawalaumu na kuwaponda.
Kiukweli ccm imechokwa sana na...
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Amani ni tunu ya Taifa.
Amani ilindwe kwa gharama yoyote kwani gharama ya kutokuwepo amani ni kubwa sana.
Taifa changa la Tanzania likiwa kwenye mwendo bora wa kuinuka kimaendeleo limeanza...
Tuliaminishwa humu na genge la watu kwamba ati Magufuli ni dikteta, mara sijui ati anavunja Demokrasia!
Tukaambiwa ati tunapaswa kulikomboa taifa dhidi ya udikteta..... Kila mtu akawa anafoka na...
Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.
Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio...
Kama ni kweli Serikali imetumia usalama kugushi makaratasi ya uchaguzi, kupanga matokeo ya uchaguzi Tanzania nzima na kufilisi wapinzani wafanyabiashara na hata kuwajeruhi au kushiriki kwa namna...
Kuna mazuri na mabaya ya Magufuli
Mazuri
Anapenda utekelezaji wa haraka. Tanzania ilifika wakati utekelezaji wa kila kitu unachukua muda mwingi sana
Anapenda miradi mikubwa. Bila miradi mikubwa...
Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano
Niongezee hili la imani
Mwanzo 9:6 BHND
Share
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Wanabodi,
Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetoa rasmi tamko mara baada ya baadhi ya viongozi wake kukamatwa na Jeshi La Polisi wakati wakiwa wanaandamana.
Tamko la CHADEMA linakuja saa chache...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho...
Wakiongozwa na Marekani, wafahili wanaweza kukata ama kupunguza mikopo na misaada kwa Tanzania kutokana na ujinga unaoendelea hivi sasa.Hivyo, ili kuwaridhisha wafadhili, hayo makesi ya mchongo...
Hii ni Habari njema Kutoka BCIC Mbezi beach kwa Mtumishi wa Mungu wa mbinguni askofu Gwajima
Wawekezaji washauri Kutoka Israel Leo walikuwa BCIC Mbezi beach kwa ajili ya ufafanuzi Juu ya mradi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.