Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba...
Baada ya takafuri nzito, kwa kiasi fulani maandanano yetu kupitia maoni yetu hapa JamiiForums yameanza kufanikiwa.
Tunaona viongozi walio na akaunti verified JF wanajitokeza kuandika masuala ya...
Heshima sana wana jamvi,
Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.
Leo police 🚔 wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa...
DUNIA inashuhudia kufunguliwa kwa siasa za vyama vingi na shughuli zake katika ardhi ya Tanzania, si kwa kauli bali vitendo hasa baada ya wiki nzima kuwa na mvutano juu ya Chama cha Demokrasia na...
Ni haki na inahitajika wapewe ulinzi wa hakika, kwani ni moja ya misingi kidemokrasia, maandamano hahajafanyika hivyo uovu wa maandamano haujaonekana.
Watakapofanya maandamano yao kwa kusababisha...
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti.
Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la...
Heshima yako Dr,
Heshima yako ya kutukuka ilianzia kwenye Bunge la katiba, uongozi wako na usimamizi wako wa Bunge hilo ulikubeba katika hiyo nafasi uliyonayo. Ninaiona ikikujengea heshima zaidi...
Chanzo cha matatizo yote ni katiba mbovu tuliyonayo haya mengine kwa sasa yanategemea sana busara za kiongozi mkuu wa nchi.
Ukiandaa maandamano ndani yake kukawa na Samia Must GO ndani ya kuomba...
Ikumbukwe majuzi tu CHADEMA wamefanya maandamano ya amani, zaidi ya mikoa 10 nchini. Na wakaenda kupeleka petitions zao maeneo malimbali ikiwa ni pamoja na UN-Tanzania, na wala hapakua na Tatizo...
Service ya magari ya maji ya kuwasha, ununuzi wa vilipuzi, risasi, posho za maaskari na maafisa wa jeshi la polisi ambao wamepatakaa barabarani leo ni kubwa sana. Hata kama hujui hesabu lazima...
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!
Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na...
Ujomile musani!.
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.
Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona...
Kumtoa Rais Samia madarakani na kuiacha CCM madarakani ni kazi bure.
Mambo mengi yanayoendelea ni matokeo ya mifumo iliyoweka na CCM na awamu zote haya mambo huwepo japo yanapishana kiwango
Na...
Mbowe anaongea na waandishi wa Habari Magomeni muda huu
Polisi watokea na kumkamata waandishi wa Habari wakiwemo akina Kikeke na Wengine wamtetea
Police wameshaondoka naye kwenda kituoni
Jambo...
Nimesikia CBE wamekuja na Template ya kuwa na Public Private Partnership kujenga Mabweni na Kujinasibu kwamba wamekuja na kitu bora na hadi kupeana zawadi ya kufanikisha hicho kitu..., Sasa...
Akifanikisha haya maandamano itabidi tumpatie mitano 5. Ajitokeze na awe mstari wa mbele katika maandamano, yeye na wapendwa wake.
Kama hatoweza basi atukabidhi chama chetu, usukani afanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.