Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Mnakubali kuiingiza Tanganyika kwenye maafa wakati Zanzibar iko shwari? Tafakari mnachokifanya ni kwa manufaa ya ani? Tanganyika au Zanzibar?
5 Reactions
15 Replies
387 Views
Haya Sasa huwezi kuwa na Katiba yenye mafahari wawili 👇👇 https://www.instagram.com/p/DAK0z_Pi8gn/?igsh=OGwyc2djcTBsMWRq On top of that Kenya ambayo Machadyhuwa wanaioigia chapuo imelazimika...
1 Reactions
5 Replies
389 Views
Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika. Wale wanaoandamana kwa amani, ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Hivi wasanii maarufu wa muziki wa aina zote wa Tanzania wana matatizo gani? Mbona wapo kimya juu ya mambo makubwa yanayoendelea nchini? Wamepiga kimya juu ya utekaji unaoendelea,mauji ya watu...
2 Reactions
10 Replies
374 Views
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k. Nilisema kadri...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu...
81 Reactions
661 Replies
78K Views
Mchakato wa Siasa za Chadema kuanzia sasa hadi Uchaguzi mkuu ukamilike zitakuwa ngumu sana na Mh Mbowe atakuwa ameshapitwa na wakati Mbowe anaweza kuiimgiza Chadema Kwenye Mazingira magumu bila...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi...
26 Reactions
115 Replies
6K Views
Ili vyombo vya Dola visiegemee kwa wanasiasa wakati wa utendaji wa majukumu yao, itungwe Sheria ya kuzuia Mtu anayeshinda kuwa Rais wa Nchi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Siasa. Hii itaepusha hata...
9 Reactions
14 Replies
439 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo...
1 Reactions
24 Replies
753 Views
Ule ukatili wa Hitler huenda ukaonekana Tanzania miaka 10 ijayo kuanzia sasa. Hawa vijana wa CCM wamefunzwa kukilinda chama . Wameapa kulinda chama. Hawana mpango kabisa na ulinzi wa rasilimali...
3 Reactions
0 Replies
218 Views
Mambo ya kuzingatia: Msiharibu mali za wananchi. Msibebe silaha. Msikate matawi ya miti (mtaharibu mazingira) Msipige kelele zisizo na maana. Bebeni maji ya kunywa, mabango yenye ujumbe kama...
1 Reactions
1 Replies
114 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius...
15 Reactions
354 Replies
10K Views
Amani na utulivu.. Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake..... Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili..... Amesema...
15 Reactions
151 Replies
4K Views
Wasalaam, Nakumbuka rais wa Uganda mzee museven wanakati anaamua kuwa dicteta alianza kwa kukamata, kufunga na kuua kila raia wake aliekosoa, hatimae akazoe tabia hiyo na kufanya Uganda ni mali...
4 Reactions
8 Replies
203 Views
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024. Mbowe amesema kuwa...
26 Reactions
114 Replies
4K Views
Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es...
5 Reactions
78 Replies
3K Views
Septemba 22, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, aliongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoani Ruvuma. Kikao hiki kilifanyika kama sehemu ya maandalizi ya kuimarisha...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Back
Top Bottom