Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Na Mwandishi Wetu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kina mpango wa kufanya maandamano yasiyo halali Jijini Dar es salaam katika siku za karibuni ambapo kulingana na maelezo ya...
1 Reactions
12 Replies
404 Views
Kesho siku ya jumatatu tar. 23.09.2024 yanatarajiwa kufanyika maandamano ya wananchi wakipinga serikali kutochukua hatua stahiki dhidi ya Utekaji, utesaji na mauaji ya watu ambayo yamekuwa...
5 Reactions
22 Replies
861 Views
Katika post fulani last week mdau maarufu wa hapa JF, ndg PASCO, alitaahadharisha kwamba MB wa CCM ndg Hamisi Kigwangalla (Nzega) hawezi kufanya maandamano akiambatana na wananchi kwa kuwa tayari...
11 Reactions
98 Replies
9K Views
Katibu Tawala mkoa wa DSM mh Nguvila atangaza tarehe 23 September 2024 kuwa ni Siku ya Amani duniani Source: Jambo TV Ahsanteni Sana 😂🌹
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Akihutubia kwenye maazimisho ya miaka 20 ya jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Septamba 17, 2024 rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa uovu wote uliopangwa kwenye mkutano wa chama kimoja cha...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho...
24 Reactions
107 Replies
4K Views
GTs, Kadri muda unavyoenda naona kuna dalili za kutaka kuyafanya maandamano yawe ya umwagaji wa damu. Nashauri serikali kupitia kwa Dkt Samia atoe Amri kwa polisi waliojiandaa kuua waandamanaji...
2 Reactions
9 Replies
646 Views
Wanabodi, Kazi Kuu ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao, katika kutimiza jukumu hilo, pia wanawajibu wa kutuliza ghasia na kuhakikisha kunakuwepo amani na utulivu kwa ustawi wa taifa...
7 Reactions
36 Replies
9K Views
Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM...
1 Reactions
22 Replies
512 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yale Maandamano ya Maombolezo yaliyopangwa kufanyika tarehe tukufu ya 23/09/2024, yapo kama yalivyopangwa, Kwa njia zile zile zilizoelekezwa Taarifa yake hii...
12 Reactions
51 Replies
1K Views
CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA...
0 Reactions
3 Replies
237 Views
Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Nasikia burudani sana jinsi msomi huyu anavyowasilisha hoja mbalimbali za mipango ya wizara yake. Nna uhakika mkubwa sana nchi inakwenda kubadilika kutokana na mipango mizuri iliyowekwa na...
0 Reactions
28 Replies
583 Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku...
6 Reactions
13 Replies
676 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani kwa sababu kadhaa: 1. Kudhibiti Siasa: CCM inaweza kuona maandamano kama njia ya kuonyesha upinzani na kutishia...
2 Reactions
1 Replies
430 Views
Sijui Ni desturi yetu sisi waafrica. Unakuta kiongozi hapokei simu na ukizingatia kabla ya uteuzi au kuwa kiongozi simu alikuwa anapokea Ila baada tu ya kuwa kiongozi simu hapokei. Viongozi wetu...
6 Reactions
37 Replies
541 Views
Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono... Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika...
2 Reactions
28 Replies
630 Views
Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa...
30 Reactions
283 Replies
70K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Back
Top Bottom