Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nipo sehemu flani hivi executive. Nimekaa na mpenzi wangu tuna enjoy mlo wa mchana. Kilichonishtua ni ustaadhi wa kiarabu kaja na vitoto vyake viwili. Haviongei kiarabu. Vinashindana na vitoto...
0 Reactions
3 Replies
201 Views
Nakuita kwa jina la Jamhuri ya Muungano wetu mheshimiwa Raisi. Waache hawa Chadema na Wananchi wengine waandamane. -Wape ulinzi, -Hakuna kitakacho haribika -utaithibitishia dunia kuhusu zile 4R...
0 Reactions
7 Replies
399 Views
Hili kila Mtanzania anapaswa kulijua na kulikemea kwa nguvu zote. Chadema ilipotaka Vyombo vya Uchunguzi vya Kimataifa kwenye jambo hili, ilijua wazi kwamba Polisi wa Tanzania hawana uwezo wa...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Kuna mbinu nyingi tu za kuandamana hasa katika nchi ambazo demokrasia ya kuandamana ni ndogo; 1. Maandamano ya wananchi mtandaoni and kwenye vyombo vya habari 2. Maandamano ya wananchi mtaani...
3 Reactions
3 Replies
356 Views
Rais Samia ameendelea kuingia kwenye nyoyo za Watanzania hususani Wana Iringa baada ya kutoa Fedha za kuanza Ujenzi wa Barabara ya Iringa-National Park ambayo ilikuwa ni Kilio kikubwa Cha wana...
1 Reactions
16 Replies
659 Views
Ukiwa kama Mtabiri wetu hapa Jf kutokea Kilingeni Msata Dr Mshana Jr naomba maoni Yako Ikumbukwe Mwalimu Nyerere ndiye baba wa kiimani( ubatizo) wa ndugu yetu Mwenyekiti wa kudumu Wa Chadema mh...
1 Reactions
5 Replies
417 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30. Fuatilia Updates hapa: Mbowe akizungumza na Taifa
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital. "Sisi tulidhani na tulishauri sana...
2 Reactions
13 Replies
500 Views
TANAPA mnashindwa kuwa service conscious, mnashindwa kuwa time conscious na mnashindwa kufanya maamuzi sahihi linapotokea tatizo, wageni wamekaa siku nzima getini eti kisa mifumo wa malipo...
16 Reactions
41 Replies
2K Views
Dunia inaenda kasi sana ! kihistoria dunia ina pande mbili kinzani yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto kisiasa,kiutamaduni,kiuchumi n.k Mwaka huu tunashuhudia mpamnano mkali kati ya pande...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Nauliza tu baada ya kumsikia RC Makonda akisema Mungu hana Demokrasia. Mwanzo 1:26 - Tufanye mtu kwa mfano wetu. Je, ni kweli? Nawatakia Dominica njema 🌹 ===== RC Makonda atahadharisha...
0 Reactions
13 Replies
427 Views
Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X. Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis...
25 Reactions
100 Replies
5K Views
Unahisi tar ngapi nzuri jufanya usafi kwa pamoja Hakikisha uko na fagiio kama hauna usikaribie unaweza jutia
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje? https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
2 Reactions
16 Replies
867 Views
USTAWI WA JAMII KUWA IDARA KAMILI INAYOJITEGEMEA Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha Idara ya Ustawi wa Jamii inayojitegemea chini ya Wizara yenye dhamana ya masuala ya Ustawi...
1 Reactions
6 Replies
558 Views
Ni wazi Chadema kama chama cha upinzani kina wajibu wa kuikosoa Serikali iliyopo madarakani ili wananchi waone kuwa hii sio serikali sahihi ili kwenye uchaguzi wananchi wakikatae chama tawala na...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Matokeo yanayotarajiwa ya maandamano ya CHADEMA yanategemea muktadha wa kisiasa nchini Tanzania na jinsi serikali itakavyoshughulikia hali hiyo. Hapa kuna baadhi ya matokeo yanayoweza kutokea kwa...
0 Reactions
8 Replies
417 Views
Sijajua ni nani alimshauri Shujaa Magufuli kuvunja Club Pendwa ya Billicanas awali ikiitwa Mbowe Hotels Kile kilikuwa Chuo Cha Wabara kujichotea maarifa ya mjini Nasema haya Kwa sababu kuna...
26 Reactions
91 Replies
3K Views
Wanasema kutoa ni moyo na kama wanadamu tunatakiwa kusaidiana wakati wa majanga. Kesho chadema wanaingia kufanya maandamano bila ya kuwa na kibali licha ya katazo ya jeshi la polisi hapa kuna kila...
0 Reactions
15 Replies
319 Views
Back
Top Bottom