Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kesho itakuwa tarehe 23 Sept 2024. Siku ambayo chadema wamepanga kufanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali kuwarudisha makada wote wa chadema waliotekwa na wasiojulikana lakini pia kuomba...
0 Reactions
5 Replies
294 Views
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote. Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi...
23 Reactions
77 Replies
4K Views
Maandamano ni njia muhimu ya kuonyesha hisia na mawazo ya wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayoathiri maisha yao. Inapotokea hali ya kutokubaliana kati ya wananchi na watawala, maandamano...
1 Reactions
0 Replies
184 Views
Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
GTs, Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania. Nina wazo; Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Ukifuatilia hotuba yake pale kwenye jukwaa la Bulldozer Mwamposa na ukijumlisha mienendo yake hii utakubaliana na Mimi kuwa huyu tena si mwana wa KRISTO YESU MNAZARETI tayari ameshaleft. Pia...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Sijasikia Anglican church, Sabato wala KKKT wakilalamikia Hotuba ya mtumishi wa Mungu Paul Makonda pale Arusha kwenye madhabahu ya Mtume Mwamposa Ila baadhi ya waumini wenzangu wa Kanisa Moja...
2 Reactions
39 Replies
802 Views
Serikali Rais mama Samia imetenga Bilioni 300 kuanza Ujenzi wa Daraja la Jangwani Ili kutatua kero ya mda mrefu ya Mafuriko na kukatika Kwa Barabara eneo la Jangwani Daraja Hilo litajengwa...
28 Reactions
213 Replies
15K Views
Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi. Hadhi...
0 Reactions
12 Replies
212 Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mh. Mwankenja ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa leo majira ya Nne na dk 10 nyumbani kwake Kiwira. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa marehemu...
0 Reactions
150 Replies
19K Views
Au polisi haina imani na makamanda hawa? Mbona hawatishia amani zaidi ya kuandama?
1 Reactions
6 Replies
212 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa...
7 Reactions
225 Replies
4K Views
Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni...
0 Reactions
14 Replies
469 Views
Nimeona andiko la Sativa na mawakili wake akiwemo Jebra Kambole kuwa serikali kupitia jeshi la police imlipe B5 jambo ambalo binafsi haliwezekani na halitowezekana kamwe . Mf kama Tundu Lissu...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli...
2 Reactions
4 Replies
216 Views
Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
3 Reactions
38 Replies
586 Views
Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024. Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Mh Rais popote ulipo nakusalimia kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania NATUMAH utaitikia salamu hii..... Mh rais hakuna kitu kibaya kama kumfinya mtoto huku unambana mdomo hasilie hakika...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Back
Top Bottom