Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwanza kabisa, uzi huu ni wa kwanza kwangu kuanzisha kwenye jukwaa letu hili muhimu lenye kila aina ya manguli wa mijadala kwa miaka mingi sasa. Nikiri wazi, nimekuwa nikivutiwa na mabandiko...
2 Reactions
8 Replies
301 Views
Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi Hawana maono mema kwa nchi Hawana huruma kwa nchi. Kinachojulikana...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Makubaliano ya wawili hawa ambayo ni yamdomo chini ya viapo (Gentlemen agreement) ni suala linalotazamwa na wahusika hawa kwa jicho kali sana, msingi wa aina hii ya makubaliano unasimama katika...
31 Reactions
140 Replies
31K Views
Haijafahamika bado, lengo lao ni nini hasa mpaka kufikia hatua ya kutofautiana uelekeo na viongozi wengine waandamizi ndani ya chadema. Yawezekana vita na joto la uchaguzi wa nafasi za juu za...
1 Reactions
7 Replies
406 Views
Ukifuatilia habari za timu hizi zile za wakati ule usalama ukiwa imara na ukafuatilia mechi za wiki hii utaona kwamba, shamra shamra zile hazipo tena. Wakazi wa Dar Wamejaa hofu kuu ya kuuawa ama...
8 Reactions
30 Replies
827 Views
Moja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi.. Kwa msingi huo, hata hawa...
6 Reactions
17 Replies
669 Views
Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Salaam,Shalom!! Kujiuzulu nyadhifa yoyote katika utumishi wa umma,Si lazima utokane na mapungufu binafsi katika ofisi Yako, la hasha, inawezekana kabisa kujiuzulu Kwa makosa ya Walio chini Yako...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya...
7 Reactions
17 Replies
865 Views
Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu. Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi. Wateule wanapomsifu Rais...
0 Reactions
3 Replies
188 Views
"Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho...
12 Reactions
129 Replies
8K Views
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo; 1. Kufuta Uchaguzi ili...
55 Reactions
470 Replies
33K Views
Kwamba mchungaji/Askofu akikemea uovu wa wanasiasa anakuwa amejiondoa kwenye orodha ya watumishi wa Mungu? Kumbe Askofu alifanya hivyo anafutwa kiroho na Mkuu wa mkoa? Yohana Mbatizaji alimkemea...
6 Reactions
17 Replies
756 Views
Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja...
1 Reactions
9 Replies
355 Views
Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani...
6 Reactions
16 Replies
687 Views
Dar es Salaam. Jaji mstaafu Joseph Warioba amekumbuka kipindi ambacho alihoji muingiliano wa mihimili ya Bunge, Mahakama na Serikali jambo ambalo amesema halipo sawa kiutendaji, walijibiwa kuwa...
28 Reactions
93 Replies
4K Views
Norway imefikia mabadiliko makubwa katika sekta ya magari, ambapo idadi ya magari ya umeme sasa imezidi magari yanayotumia petroli. Kulingana na ripoti ya Shirikisho la Barabara la Norway, kuna...
2 Reactions
0 Replies
143 Views
Kuna dalili na kila namna J Mnyika kupewa kesi ya mauaji ya mzee Kibao na utekaji. Niliwahi kusema na kurudia kuwa Police wanataka bambikizia kesi CHADEMA .
2 Reactions
13 Replies
666 Views
Zaidi ya shilingi bilioni 58 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika jimbo la Muhambwe. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa miundo mbinu ya Barbara, vituo vya afya, maji na...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Back
Top Bottom