Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia...
Balozi wa USA Nchini Tanzania bwana Battle amesema eti Kwa miaka 20 iliyopita Marekani imewekeza na kutoa misaada Kwa Tanzania yenye thamani ya $7.5 Bilioni( sawa na Trilioni 15).
Bwana Battle...
Hello!
Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka.
Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority.
Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili...
Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua.
Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione...
Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
Husika na mada tajwa hapo juu;
Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali.
Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU.
Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020.
HOTUBA KWA UFUPI
CCM imejiandaa kushinda...
* Ni msanii aliyedokezwa na gazeti hili wiki iliyopita
* Mrembo akiri walikuwa pamoja kutangaza utalii
* Asisitiza sehemu kubwa ya bajeti ilitoka wizarani
* Yaelezwa ndicho kilichomkera Rais...
Nadhani kuna haja kubwa kwa Mama kutafuta namna na mazingira kwa kadri itakavyowezekana ili aombe radhi kwa kauli tata aliyoitoa kupinga kauli za Mabalozi, Maaskofu(TEC), Vyombo na Taasisi...
Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma...
Boniface Jacob ameweza kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Septemba 19,2024,toka akamatwe hapo jana katika mgahawa wa Golden Fork, Sinza.
Hati ya Mashtaka ya kesi inayomkabili...
MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli...
Fuatilia link ya shirika la ResearchLink International kupata usaidizi kwenye mambo mbalimbali ya kitaaluma na hata scholarship application assistance.
Huwa nakutana na machapisho ya ex mayor Boniface Jacob kule ukurasani X mara nyingi tu ila Sijawahi kumuona akinukuu Injili ya Yesu Kristo ambayo ndio Ubinadamu wenyewe
Mara zote Boniface Jacob...
Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo...
Habari!
Mimi ni Moja ya wafuasi wa kutupwa Kule X nafuatilia sana machapisho ambayo hua anayaweka huyu jamaa
For sure this Man ni threat Kwa serikali jamaa hua hatumii matusi hata kama baazi ya...
Salaam,
Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote...
Leo napenda kuja na mada ambayo huwenda ikasaidia wale waliopo kwenye nafasi za uwongozi wa juu wa Taifa.
Awali ya yote nilazima tuambiane ukweli Taifa lina jengwa ktk misingi ya siasa bora ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.