Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe...
Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema...
Marekani inaungana na wale wanaotoa wito wa uchunguzi huru, wa uwazi, na wa haraka kuhusu utekaji unaoendelea na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mauaji na kupotea kwa watu, pamoja na kukamatwa...
Whataboutism, or if you like, whataboutery.
What is it? It’s a rhetorical device. It’s a form of ‘tu quoque’. ‘You too’.
When someone employs it as a tactic, it’s proof positive that they’re on...
Tambua makosa ambayo walifanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu.
Kwanza kitendo cha Sativa kutekwa na kunusurika na pia baadaye Sativa kumtambua Mafwele...
https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo
Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu...
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri...
Hii clip inajieleza wazi:
Tanzania itajifunza lini kuuhusu ukweli huu?
Kwanini Kila mtu asipewe haki yake?
Kwanini kujipanga kupora haki za wengine?
Kulikoni kujipanga kuchuma laana...
Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"
Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya...
Taasisi pekee Tanzania ambayo haiko mfukoni mwa watawala kwa sasa ni TEC,
JE,TUTARAJIE KUJISIMAMIA ZAIDI KWA TAASISI HII IKIWA NI BAADA YA UCHAGUZI HUU AU TUTARAJIE KINYUME CHAKE?
Akihubiri kwenye Kongamano la Kitume jijini Arusha mtumishi wa Mungu mh Makonda amesema Kazi ya Kanisa ni kuliombea Taifa siyo Kulalamika na kutoa matamko
Makonda amesema siyo kila anayevaa Joho...
Mengi niliyoyaweka hapa jukwaani yamejjri na wala sijisifu kwa hilo, kwa sababu huwa nazama kwenye maombi yasitokee lakini kwa utawala huu nimegundua Mungu hajibu maombi yangu yote.
Pia soma...
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba Naelewa na kuamini kwamba kauli ya Mheshimiwa RAIS iliakisi kile ambacho yeye kama Samia Suluhu Hassan anakiamini na anakifahamu ila hakikuakisi kile ambacho RAIS...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni...
Baada ya rais kutoa hotuba kuwashutumu mabalozi waliohimiza uchunguzi huru na wa haraka,watu wanaoona mambo kwa rangi zake waliona matundu na kasoro katika hotuba ya rais.
Jana,mwenye ID Malcom...
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila ametangaza rasmi kuwa siku ya Jumatatu, tarehe 23 Septemba 2024, itakuwa siku ya kuadhimisha amani duniani.
Taarifa hii ameitoa siku ya...
Msingi wa mvutano wa serikali (ya CCM) na Wananchi kuhusu maandamano yao ya kuonyesha masikitiko kuhusu Utekaji, kupotea na mauaji na polisi kuhisiwa kuhusika ni kutaka wahusika wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.