Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4...
Afrika tunaionea Marekani hakuna kiongozi wa Africa kalaani kitendo cha Mgombea Trump kushambuliwa Risasi na kuitaka Marekani iheshimu democracy
Huwa mstari wa mbele kulaani hivyo vitu...
Ndugu zangu habarini za hapa jamvini....!
Musoma yetu niliwamisi sana hapa jamvini. Ni takribani miaka 4 sikuwa active humu, mara ya mwisho ilikuwa 2021!
Ni mengi tumepitia hii nchi toka...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kazi kubwa anayoifanya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya...
vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika...
Pongezi zangu kwenye kichwa cha Uzi huu ndio Salamu zangu za Sabato ya Leo kwa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
Kwa mara ya kwanza CCM tunaingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa tukiwa Wamoja...
Walitaka kuiga Arab Spring ambako nchi nyingi za kiarabu zilipinduliwa kwa mpigo inaanza hii inakuja hii nk
Maandamano ya presidents must go yalipangwa yafanyike kwa mpigo Kenya, Uganda na...
Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye...
Imeniuma sana na kunisikitisha kumuona Mh Amos Gabriel Makalla, Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji kuona anaishi katika nyumba isiyokuwa na milango, madirisha wala plasta haijapigwa...
Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments...
Hadi sasa inaelekea Kuna mvutano mkubwa Kati ya serikali na CHADEMA, kuhusu maandamano ya amani, yaliyopangwa na CHADEMA tarehe 23 mwezi huu, kama serikali itakuwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu...
Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni.
Idadi ya watu alioandamana nao...
Nimeisikia taarifa iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi, afande ACP Misime, ambayo alidai kuwa maandamano ya CHADEMAni ni haramu, Kwa hivyo wameyapiga marufuku.
Lakini katika taarifa hiyo ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024 wa dhamana ya aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.
Uamuzi huo...
Yes it is here...the neo-nazis of the 21st Century are here! Who would have thought my beloved country, Tanzania, the land of Kilimanjaro and Serengeti, would be the recipient of the Gold medal...
Wanabodi,
Haki ya kuandamana, kukusanyika, kuhudhuria mikutano, kushiriki kwenye shughuli za kisiasa, kiuchumi na kijamii, ni miongoni mwa haki za msingi za binaadamu zilizot
olewa na katiba...
Dr Balali,
Najua umeomba kuwa watu wasikuhesabu kuwa na hatia mpaka ihakikishwe kuwa umefanya makosa. Najua pia kuwa unasisitiza kuelezea mpango wa mafisadi katika serikali wa kutaka kukutoa...
20 September 2024
Chama cha siasa cha CHADEMA kilicho na ushawishi mkubwa leo kwa ajili ya hamu ya watanzania kufahamu mengi wamekusanyika kuongezewa maarifa ...
Mtawala wa forum hii na wote kwa ujumla napenda kuwapa mada hii iwe kama ni ushahidi mojawapo wa sakata la BoT. Hili suala la watoto wa vigogo kuajiriwa Bot si la uongo kwani
1. Rogers Sumaye...
Wakati nikiendelea kufanya utafiti wa gharama za magari hayo na uwezo wake, nimeanza kuona dalili ya hasara kubwa ambalo Taifa inalipata, kwa ajili ya maslahi ya kisiasa. Haya magari yanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.