Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili...
11 Reactions
141 Replies
8K Views
Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao Ntobi amesema ukurasani X Ahsanteni Sana --- Tumetoka kumuona BonIFACE...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi watu wa MUNGU Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu Mange anadai...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Enzi ya zile blocks za Ubepari na Ujamaa Ndio ilikuwepo Marekani ya Ukweli siyo hii ambayo Papa Francisco amewaambia wachague Shetani mwenye nafuu Tusitishane sana kuhusu Marekani jamani tena...
3 Reactions
35 Replies
880 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo...
4 Reactions
39 Replies
994 Views
Jambo lolote ukitaka kulifanya basi lifanye kwa sababu madhubuti na ikiwezekana pima nguvu itakayokuunga mkono. Watanzania wote wanaumizwa na vifo vya wenzao na hasa vikiwa vya kutekwa. Pamoja...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama unaishi Tanzania basi bila shaka utakuwa unafahamu kuwa media zetu haziko free kama ambavyo zinatakiwa ziwe. Suala la kukosoa serikali limekuwa ni nadra sana kusikika kwenye media...
2 Reactions
14 Replies
483 Views
https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na...
12 Reactions
299 Replies
18K Views
RAIS DKT. SAMIA AWASILI NA KUPOKELEWA MKOANI KILIMANJARO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Moderator JF: 1. Tafadhali usiunganishe uzi huu na mwingine. Uchambuzi huu muktadha na maudhui yake ni tofauti kabisa na chambuzi za wengine waliokwisha kupost humu akiwemo Mama Amon...
2 Reactions
4 Replies
446 Views
ZIFAHAMU SHERIA ZA MSINGI UWAPO MIKONONI MWA POLISI IMEANDALIWA NA MAWAKILI 1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho...
2 Reactions
5 Replies
490 Views
Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania(TCD) Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema wamekuwa na majadiliano ya mara kwa mara na serikali...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanajukwaa, Ninachojua ni kwamba ukilinganisha na mwaka 2015 ambapo battle ilikuwa Lowassa Vs Magufuli, mwaka 2020, muitikio wa watu kupiga kura ulikuwa ni mdogo mno. Kutokana na rafu...
3 Reactions
2 Replies
178 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kabla hata sherehe za kufurahia Gekul kufutiwa kesi iliyomkabili , ile ya kumtumbukiza Chupa makalioni kijana mmoja huko Manyara haijaanza , Tayari Mawakili wa Mlalamikaji huyo wametangaza kukata...
7 Reactions
69 Replies
7K Views
Tunahitaji amani sio utulivu, lakini ni heri ya utulivu kuliko demokrasia yenye vurungu, na bila kusahau kuwa demokrasia kwa watu hata wasiokuwa na vyama; ni zaidi ya vyama vya siasa kurahisishiwa...
-1 Reactions
4 Replies
240 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea...
7 Reactions
126 Replies
2K Views
Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Iwe ulifurahia au hukufurahia kilichokuwepo kwenye hotuba ile ya Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi kunahitajika pongezi hasa tuliochoka kusikia maneno kama hili...
1 Reactions
2 Replies
178 Views
Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo. Hivyo, wananchi wapuuze uwongo...
12 Reactions
247 Replies
11K Views
Back
Top Bottom