Boniface Jacob tayari amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
Ni jioni ya leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 na anasubiri hakimu aingie mahakamani kwa ajili ya...
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.
Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa...
Mimi ni Mwana CCM lakini wakati mwingine naona hadi aibu nikiwa na Watu wenye akili around!
Kwanza Hongera sana Comrade Balozi Dr.Emmanuel Nchimbi kwa press uliyofanya hivi karibuni!
Nimekubali...
Kupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa...
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua...
Barabara kutoka pale bypass ya East Africa ni ya zamani sana, ni nyembamba, imejaa mashimo, viraka, ukiipata ni sawa tu na njia ya kwenda Kiteto.
Barabara hiyo inatumiwa na watalii hasa wazungu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha.
My take: Tayari Raisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa William Lukuvi Amekoshwa na uchapa kazi wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kasi ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya...
Chama Cha ACT wazalendo kimewataka Watekaji wanaomshikilia kiongozi wa Chadema mh Deusdetit Soka wamuachie Mara Moja
Katibu mkuu wa ACT wazalendo mh Ado Shaibu amesema wanaodhani watamtendea...
Tundu lissu au Mbowe wakitoa speech au wakitoa andiko hata kama wameisema Serikali au Rais au idara ya Usalama huwa kunakuwa na sehemu ya kutokea kisheria, hii iko vizuri .
Tatizo ni baadhi ya...
Ninao ushahidi usioacha shaka kutetea kauli ya Mch Peter Msigwa kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatumia chama hicho kama saccos binafsi tena ya familia. Na kwamba anatumia Mbowe...
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is...
Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani.
Orodha ya Majina ya wenye vyeti feki hii hapa:
Pia soma
Watumishi 450 washinda rufaa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakishuhudia uwekaji saini wa...
JUNE 20, 2013
Mbunge wa kasulu mjini kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Mh. Moses Machalli
Habari zilizoifikia Maisha Times muda huu kutoka Dodoma zinaripoti kwamba Mbunge wa Kasulu mjini...
Ndg wanajamii, nina habari za uhakika mkuu wa wilaya wa Dodoma ametekwa na msafara wake na wanafunzi wa chuo cha elimu, wakimtaka waziri mkuu Pinda aje na kuondoka na makamu mkuu wa chuo fedha na...
Jacob Nchimbi (Aliyewahi kuwa dereva wa NKM Bara) amepigwa sana leo kwa shutma za kuonekana kama ni mpelelezi anaewapeleleza Prf. Lipumba na timu yake. Jacob alikwenda Ofisi Kuu leo akavamiwa na...
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza...
Duuh, jamaa ana uchungu,katema cheche hatari. Ana hasira na yuko tayari kwa lolote....
Katibu mwenezi BAVICHA Taifa Twaha Mwaipaya amesema hakuna Jeshi la Polisi litaloweza kutuzuia vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.