Salaam wanaJF.
Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama...
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.
Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni...
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Na. M. M. Mwanakijiji
Rais Samia alitaka kupendwa. Rais Samia alitaka kukubalika. Rais Samia alitaka kuoenakana yeye siyo kama yule. Baada ya kuapishwa kufuatia maombolezo ya kifo cha Bw. Yule...
Jamani hii nimeipata kwenye chanzo kimoja cha uhakika mno; kwamba wale samaki wa magufuli walikuwa wanakwama kuuzika kutokana na hujuma za Raisi wa Tanzania JM Kikwete dhidi ya Dk Magufuli...
My Take
Wapinzani wa Tanzania ni uchwara na hawajitambui .
👇👇
"Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza miradi mingi ya maendeleo hasa kwenye Jimbo letu la Ubungo...
Askofu Dr Malasusa: Mh Naibu Waziri mkuu Dr Biteko mh Rais amefanya jambo sahihi kukuagiza umuwakilishe wewe ni mtu mnyenyekevu sana, nikuombe ninyi kama Serikali mkae na Wanasiasa Ili haya mambo...
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi...
Jaji Warioba amesema Siku Hizi Vijana Wanasifu kuliko kuhoji
Warioba amesema alipokuwa Kiongozi alikuwa akialikwa Chuo kikuu Cha DSM ilibidi kujipanga hasa maana kulikuwa na Wakufunzi Vijana...
Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka...
Kuna watu waliingia madarakani na 4R, kama mlikuwa hamjui, dhumuni kubwa la 4R lilikuwa ni kukosoa na kuonesha utawala wa JPM’ulikuwa mbovu; katika maisha , huwezi kuonekana upo bora kwa kuonesha...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu...
Je wew ni mwananchi usiye penda Tanzania iliyotulia? Je, una washwa washwa na amani? Huenda ukawa ni makulukutabu.
Sasa habari njema ni kwamba, rais SSH ambaye ni amiri jeshi mkuu amejiandaa...
Wala sihitaji kuandika thread ndefu juu ya hili, kwa sababu linapaswa kuwa wazi sana kwa mtu yeyote mwenye akili. Kuna tofauti kubwa sana kati ya serikali ya Raisi Magufuli na serikali ya Raisi...
Tuko kwenye vikao vya Kamati Kuu vya Chama Dar es salaan. Nimesikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais mara tano. Nashukuru Mungu nilirudi nyumbani nikawakuta wazazi wangu wakiwa hai na walifurahi sana...
Watu wengi sana waliompinga hayati magufuli walianza mkubali baada ya kuanza kuona mafanikio, hizi zinaweza kuwa ni sababu za kutokubali kwake
1. Alikuwa akili kubwa/ IQ kubwa kuliko Asilimia...
Nimemsikia akijaribu kuelezea kuhusu Rais ajaye,katika mazungumzo anataka kutuonyesha kwamba yeye ndiye anayetakiwa kutupatia Rais wetu mpya tunayetegemea kumpata mwisho wa mwaka huu,Kikwete...
Wakati wa mgogoro mkubwa wa CHADEMA hasa kati ya Zitto na Mbowe niliwahi kuandika humu kuhusu Mbowe kuwa ni 'mtoto wa mjini'
sishangai Zitto kushindwa.... Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi ujenzi wa bomba la gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es salaam leo Novemba 8, 2012 maeneno ya Kinyerezi njijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Makamu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.