Bandugu, mhanga wa utekaji, uteswaji na uuaji Sativa aliyeokotwa huko Katavi amemaliza ugomvi na kufungua sintofahamu kwa nani aliyemteka, kumtesa na kumtupa porini baada ya kumpiga risasi ya...
Hakuwa reformist(mwanamageuzi) katika nchi, Sio intellectual au mwanafalsafa kama Nyerere na Kingereza chake ni cha kawaida tu ila wakati wote amekuwa kipenzi cha viongozi wa siasa magharibi...
Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika
Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni
Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu
Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu...
Hivi ukumuuliza John Mnyika, Tundu Lisu au Mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani...
Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyooshea Serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa...
Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko.
Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na...
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilikuwa kama ajali kwasababu hazikuwa katika utaratibu wa kawaida ikiwemo Mawakala...
Ndugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania.
Siku ya jana...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo...
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza...
Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta...
Ni kweli Kifo Cha Shujaa Ally Mohamed Kibao kimeumiza Watu wengi na hasa ikizingatiwa alikuwa Mpiganaji
Lakini ni Ukweli' pia huko nyuma vilitokea vifo Vya kuumiza Zaidi hasa vifo Vya Mwangosi na...
Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni.
_______________
Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori...
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa...
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-
1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ...
Moderator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha.
Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala.
Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa...
Wote mnaodhani wanaompinga SSH hawampendi mnakosea sana hata mie nilidhani hivyo mwanzo mpaka yaliponikuta.
Nimelazwa hospitali ya wilaya mkoa mmoja huku kanda ya ziwa sijaamini macho yangu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.