Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbunge wa Jimbo la Vunjo lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Wapo wanaoamini kuwa Serikali inaogofya na kuendeshwa na posts za wanaharakati wa mitandaoni. Wapuuzi hawa wanaamini kuwa wakipost tu Serikali inahamaki na kuchukua hatua. Bado wanajiaminisha...
2 Reactions
22 Replies
508 Views
Katika siku za hivi karibuni, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha uthabiti wa kipekee katika kukabiliana na changamoto zinazotokana na matamshi ya wapinzani wanaotumia kivuli cha Falsafa ya 4Rs...
1 Reactions
9 Replies
745 Views
Afisa elimu wa mkoa wa Kilimanjaro akishirikiana kwa Siri na Afisa elimu secondary, Moshi manispaa, wametoa mwito kwa walimu wakuu wa shule katika mkoa huo kuhakikisha wanatumia na kulipia mfumo...
1 Reactions
6 Replies
815 Views
Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Polisi wametumia dakika takribani 180 kufanya upekuzi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo. Cha ajabu...
6 Reactions
120 Replies
4K Views
Salaam kwenu. Ni kweli lengo la kupigania Uhuru wa Tanganyika, lilikuwa kuwafanya wananchi ama raia kuwa huru kuchagua aina ya uongozi na viongozi wanaotaka, kujiamulia mambo yao ya Kiuchumi...
6 Reactions
10 Replies
731 Views
Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua sasa hivi unafundishwa na wanasheria namna nzuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Mhadhiri wa sayansi ya siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo anasema demokrasia ya Tanzania iliharibiwa tangu mwaka 2016 kutokana na uamuzi uliofanywa na Watanzania kuamini mtu...
3 Reactions
6 Replies
364 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, kikidai kuwa taratibu za kisheria hazikufuatwa. LHRC...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia...
4 Reactions
85 Replies
4K Views
When Dictators Ragequit: UN's Authoritarian Endgame Playbook https://www.youtube.com/watch?v=1OSEcn_w9l8 (0:00 - 2:00) Understanding Entrenched Authoritarianism - Introduction to the UN...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
WAZIRI LUKUVI ASHUHUDIA MAFANIKIO LUKUKI UBUNGO. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera,Bunge na Uratibu )Mhe. William Lukuvi Leo Septemba 18,2024 ameanza rasmi ziara Mkoa wa Dar es salaam...
0 Reactions
9 Replies
235 Views
Habari ninahitaji Standard ya Kupima IQ ya Watanzania.Sitaki nitumie Standard ya nje ya nchi nataka Standard ya Kitanzania.Naombeni Maoni Yenu.
1 Reactions
5 Replies
313 Views
Kumbe Bonny ni mtu poa tu, hana chochote cha hatari alichonacho nyumbani kwake zaidi ya king'amuzi cha DSTV na simu ya Tochi ya Tecno pamoja na jiko la gesi moja
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa. Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na...
0 Reactions
15 Replies
387 Views
Salaam Wakuu Sote tunayo taarifa ya mipango ya kufanyika Maandamano. Yanayoandaliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Maandamano hayo yanakuja baada ya vitendo vya utekaji na...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli. Je, taarifa hizi...
5 Reactions
128 Replies
11K Views
Back
Top Bottom