Polisi wamemaliza kufanya upekuzi nyumbani kwa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Kada wa CHADEMA, Boniface Jacob ambaye amekamatwa na Polisi jioni leo akiwa maeneo ya Sinza na kupelekwa...
Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa.
Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye...
Punguza matembezi na all time muwe na wau wasiopungua 10 at any time. Simu zenu ziwe katika mode ya picha kuchukua picha za watekaji. Be in a strategic position to avoid being seen easily while...
Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi.
Bila hata vita za silaha...
Kwa Sasa ni kama CHADEMA wapo pekee yao.
1. Wanapambana na polisi
2. Wanapambana na TISS
3. Wanapambana na Rais
4. Wanapambana na Vyama 13 vya upinzani.
5. Wanapambana na Viongozi Fulani wa dini...
Za Asubuhi.
Siku Moja Mzee wangu aliniambia huyu Samia yeye kwenye akili yake anawaza Urais wake tu. Yani yupo tayari afanye lolote kulinda Urais wake sio Nchi. Nikawaza kweli. Issue ya Spika...
Wasalaam,
Inafahamika wazi nchi hii hakuna vyama vya upinzani zaidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Vyama vingine vyote vinavyojiita vya upinzani ni matawi ya CCM na...
Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni...
Msimamo wa Chadema kushusha moto wa Samia Must Go (SMG) uko pale pale kwa mujibu wa maelezo yao mitandaoni. Kwamba serikali iondoshwe kirahisi hivyo kama ilivyokuwa Arab Spring. Well, ni haki yao...
"RAIS SAMIA HANA DENI HUDUMA YA MAJI UBUNGO" - LUKUVI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi ametembelea Mradi wa Maji Mshikamano uliopo Kata ya Mbezi...
Nimetafakari kauli ya rais, nimebaki na maswali mengi. Majukumu ya jeshi la polisi ni yapi?
Wao si ndio wana msemaji wao?
Au hapa alimaanishanisha nini?
Kwamba wananchi wafanye nini hayo yote...
RAIS SAMIA“Niliwahi kusema na hapa nataka nirudie tena kwa msisitizo, Ukimya wangu sio ujinga, na wala kuzungumza sana kwa wale wanaozungumza sana sio uelevu hata kidogo, kuzungumza sana ni udebe...
Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao...
ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani.
SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri...
Nasisitiza tena Watoto wa Tanzania someni Sayansi na Teknolojia Haya mambo ya Siasa na Uchawa mtakuja kuyajutia baadae
Tusisubiri Wahindi wapate Tuzo Harvard university ndio tushangilie sisi...
Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia.
Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA.
Pia wananchi wanaona hayawahusu...
Habari wanaJukwaa
Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Na uzushi...
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki...
Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa...
Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.