Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwanachama wa CHADEMA James Mbowe, amelaumu serikali kwa kuunda mazingira yanayowafanya wananchi kudharau mchakato wa uchaguzi. Akizungumza na Jambo Tv, Mbowe ameeleza kwamba wananchi wengi...
1 Reactions
1 Replies
209 Views
Kifo ni kifo na kila mtu atakufa na ukifa hufi tena ila kwa yule ambae bado. Hata hivyo tofauti ipo kwenye umekufaje, umefia wapi na ulizikwaje. Kazi yetu wote ni kupambana ili watu wafe kwa...
1 Reactions
12 Replies
355 Views
Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko mazito kuhusu vitendo vya utekaji vinavyohusishwa na baadhi ya viongozi ndani ya chama...
1 Reactions
1 Replies
172 Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na...
3 Reactions
90 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na hamasa kubwa miongoni mwa vijana wa Gen Z katika kuibua changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo maisha magumu,uhaba wa ajira,ukiukwaji wa haki za kibinadamu,utekaji...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
CHADEMA mnatakiwa kueleweka kwa wapiga kura wako Tanzania sio balozi au jumuiya ya kimataifa au vyombo vya habari vya kimataifa mnatakiwa kueleweka zaidi kwa wapiga kura walioko Tanzania sio...
1 Reactions
7 Replies
181 Views
Waandamanaji wa CHADEMA katika Mikoa Yote huwaga ni wale wale Yaani maandamano hata yawe Tarime akina Boniyai wanakodi Fuso kwenda Mara kuandamana Kuhofia maandamano ya CHADEMA ni kuwapa Sifa na...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Viongozi wa dini ndio walezi wa kiroho na maadili wa Watanzania. Siku za hivi karibuni waneanza kunyooshea vidole polisi kuwa hawawezi kazi kupambans na watekaji na kujifanya kusikitishwa...
3 Reactions
16 Replies
441 Views
Kuita mauaji ni Jambo la kawaida ni kauli inayopaswa kutoka Kwa Mtu asiyejali, sadist anayefuraia kifo cha mwenzake. Nikushauri mamangu, wengine tulikuamini Sana na mpaka Leo huwa najiuliza Samia...
3 Reactions
12 Replies
546 Views
Wananchi wanahaha kufikiria maendeleo mpaka wanaona waunde vya vya upinzani. Baadhi yao vyama vikishaundwa wanavitumia vibaya na kuviua kwa mikono yao. Chama cha Demokrasia na maendeleo ni moja...
0 Reactions
3 Replies
204 Views
Unanisukuma nakuangalia ila ujue nikifika ukutani sitokuwa na sehemu ya kwenda. Umeshanifikisha ukutani kwa "ugobo wako" narudia tena kukurai niache bwana kwani mimi ni mtu mwema lakini bado...
3 Reactions
17 Replies
677 Views
Baba wa ubatizo wa watoto wa Mzee Aikael Mbowe au Nyerere kumtuma Mzee Aikael Mbowe kwenda kutoa posa ya ndoa ya mtoto wake Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa Rukwa wa Sasa) kwa niaba yake...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Friends and Enemies, Rais Samia,Usiwaruhusu wakufanye uwe mjinga kama jamaa yule kwenye suala hili la demokrasia, Au pia usiwaruhusu wao wakufundishe namna gani ya kuifanya hii demokrasia ili...
0 Reactions
6 Replies
379 Views
Jua maisha ni mlima eeh,maisha ni mlima, Kuna kupanda na kushuka eeh, Kupanda na kushuka, kuteleza siyo kuanguka eeh, Hiyo hapo juu ni chorus ya wimbo kutoka kwa kinywa cha spika wenu wa bunge...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
JK alitumia akili kubwa kumteua Shujaa Magufuli Kuwa Mgombea Urais wa CCM 2015 Kwa sababu nguvu ya Chadema Kwa kushirikiana na UKAWA ilikuwa kubwa sana Lowassa na Membe wasingeweza kuzuia anguko...
0 Reactions
3 Replies
316 Views
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale...
72 Reactions
573 Replies
20K Views
Kwamba kumbe nini kilitumainiwa? Kwamba Chadema kama ilivyo kwa wananchi wengine wamekuwa wanachukizwa mno na tekaji tekaji hizi? Kwamba Chadema kama ilivyo Kwa wananchi wengine wanaona ni...
1 Reactions
1 Replies
277 Views
Tumeshuhudia Hamisho mbalimbali za Wanasiasa ikiwemo ule wa Kaborou kutoka Chadema kwenda CCM miaka ile Lakini Uhamisho wa mchungaji Msigwa una makeke mengi mno Bado Naamini mchungaji ni Chadema...
0 Reactions
14 Replies
373 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu...
6 Reactions
133 Replies
4K Views
Back
Top Bottom