Wakati huu wa dhahama za kutekwa, kuteswa na hata kuuawa na kundi la wahalifu la watu ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kipindi Muhimu sana cha kuonje Upendo, huruma na kujali kutoka kwa viongozi...
Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dotto Biteko ndani ya Jimbo la Muhambwe la Mbunge Dkt. Florence George Samizi. Atazungumza na wananchi wa Kibondo Mjini na kukagua miradi
Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa...
Nina swali kwa wadau wa JF.
Ukisoma Ibara ya 125 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna mahakama Maalum ya Kikatiba ilianzishwa, ila mahakama hiyo haijawahi kufanya kazi au kusikiliza...
Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono.
Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa...
Rais ameonyesha imani kubwa kwa vyombo vya dola. Ameonyesha wanafanya kazi nzuri na kuwapa motisha wakujielimisha zaidi.
Je, wananchi wanaimani na vyombo vya dola kama ilivyo kwake Rais?
Soma...
Wanaoteka wana shida na pesa kwa sababu hata wao wanamahitaji. Ninachokiona sasa ni kuwepo uwezekano wa wahuni wachache kuanza kukamata wafanyabiashara na RAIA wa kigeni kisha kuwalazimisha wawape...
Hapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa.
Hapa Ngulelo Arusha, majambazi wamekuwa ni kero, wanavunja...
Kwa namna ambavyo umekuwa ukiendesha siada zako, kwa namna fulani tuliona kunautamaduni fulani unaelekea kujengwa ndani ya nchi na hasa ukiangalia aliyekuwa at the frontline kuujenga ni Katibu...
Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika...
Chadema ya leo inakosa weledi na hii ni kwa sababu ya kumtosa Slaa...Huyu ni rafiki ,baba na kiongozi wangu.
Huwezi kuomba uchunguzi huru ilihali una hitimisho la uhalifu yaani mawazo yako sio huru.
Siasa za upinzani nchini ni zao la ubepari ambao ulikataliwa na watanzania.
Tunaamini kuwa ruhusa ya kuwepo kwa vyama vya upinzani ilikuja baada ya Nyerere kukubali kwa shingo upande huku jamii...
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.
Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA...
Hapa chini nawaletea kipande cha maelezo ya Zitto katika moja ya threads maarufu zilizowahi kutokea humu jamvini ambapo bavicha walikuwa wakishambuliana.
#Ninasikitika sana kuona wanachama wa...
Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo...
Rais kanikatisha tamaa Sana. Kwenye hotuba yake ya leo hajatoa suluhisho la kudumu kuhusu utekaji. Yeye kajikita kwenye kuwatisha mabalozi na chama Cha CHADEMA kwamba anawafuatilia kila kikao...
Wakuu,
Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake...
Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili
1. Wizara ya Ardhi
2. Wizara ya Tamisemi.
Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.