Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais Samia akifunga mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa mwaka 2024 na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania katika viwanja vya Jeshi la Polisi (CCP)...
0 Reactions
4 Replies
300 Views
Kutokana na vitisho vinavyotolewa na polisi dhidi ya haki za wananchi kutimiza haki zao kikatiba, ni wazi polisi wanaweza kuumiza watu hata kuua kwa kisingizio cha kuzuia maandamano. Nashauri...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally Mbwana amewataka Waislamu kote Nchini kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vitakavyopelekea uvunjifu wa amani...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa...
14 Reactions
131 Replies
4K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 17 Septemba 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la...
1 Reactions
2 Replies
307 Views
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakionesha namna wanavyokabiliana na ghasia za maandamano ya wananchi. FFU wamefanya hayo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Wananchi waacheni polisi wafanye kazi yao mitandao ya utekaji huwa mikubwa kuwajua wote huchukua muda mrefu kama kumaliza ugaidi Waweza kamata mtu asaidie uchunguzi akataja wengine .Wakawa hao...
1 Reactions
26 Replies
666 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, Mhe. James Tsok Bot aliemtembelea Ubalozini tarehe 17 Septemba, 2024. Katika...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, anayeshughulikia masuala ya Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro, amekosoa uchaguzi wa mwaka 2020, akidai...
1 Reactions
5 Replies
360 Views
NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa...
9 Reactions
80 Replies
3K Views
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa...
6 Reactions
18 Replies
692 Views
Waziri Mkuu wa zamani Mzee Msuya amesema Uongozi ni talanta na si Wote wanaoongoza Wana hiyo talanta Mzee Msuya amesema Watu wengi hutamani Uongozi wakidhani ni kazi rahisi/ nyepesi lakini ni...
4 Reactions
9 Replies
318 Views
Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
14 Reactions
29 Replies
671 Views
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu...
1 Reactions
2 Replies
290 Views
Tazameni magari ya Makonda na mtathimini kama ni mtumishi wa umma ameyapata kwa njia ipi? Mtumishi wa serikali anayepata na kuishi kwa kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi hawezi kuwa na mali...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limelaani matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini na kuvitaka vyombo vya dola kutimiza wajibu wake ipasavyo, ili kurudisha heshima ya Tanzania...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom