UTEUZI
Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30...
1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito, Watu wanajua kikosi kizima...
Endelea kupumzika kwa Amani Kamanda Mohamedi Mtoi , classmate wa vidudu (chekechea) and Secondary. Ile kama kweli ilikua Ajali ya kawaida basi Mungu anajua...
The guy is good.
MwananchiNews nimesoma kwenye habari yenu kuwa mmenipigia sikupokea. Fahamuni tu kuwa wakati mnapiga nilikuwa naendesha mafunzo ya Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi...
Kawaida, chama cha siasa kilichopo madarakani kwa kuchaguliwa ki-demokrasia, hakipaswi kuondolewa madarakani kwa nguvu. Uhalali wa kuiondoa serikali madarakani unapaswa uwe kupitia sanduku la kura...
Godlisten Malisa amemwaga tuhuma kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania na kejeli kwa baba askofu mkuu Alex Malasusa. Mimi ambaye siyo mlutheri bali Mkatoliki ninayeelewa matamko yaliyowahi...
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya Shitambala na Diwani wake wa Kata ya Ilungu iliyokumbwa na mmomonyoko wa ardhi wameiomba Serikali kuwapelekea Huduma za Kijamii.
Shitambala amesema Serikali...
MWENYEKITI KAWAIDA(MCC) AONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC)...
Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya...
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho na viongozi wao na badala yake kuwataka wajikitike kwenye sera za kujenga vyama vyao na...
Maono ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya Kitaifa kama Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Ujenzi wa...
Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Wakili Mwabukusi amesema ni Heri Wanasiasa wakamuacha Shujaa Magufuli apumzike
Njia sahihi ya kumuenzi Shujaa Magufuli ni Kulinda Rasilimali za Nchi Siyo Kushinda Kaburini Kwake na mashada ya...
Friends, ladies and gentlemen..
Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa...
Tundu Lissu has apologise to the nation and international community, for being too naive
https://m.youtube.com/watch?v=9djeud3m8Ic
And Tundu Lissu went further by saying he and many tanzanians...
Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano.
Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka...
Baadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k.
Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza
majaji wa mahakama - ???
wakuu wa mikoa - 26
makatibu...
Wakati wimbi la utekaji likiwa limeshika kasi Tanganyika, hali ni tofauti kwa jirani yake, Zanzibar.
Zanzibar kumetulia . Zanzibar hakuna utekaji.
Nini siri ya Zanzibar kuendelea kuwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.