Mchungaji Msigwa ameonekana bado anaitamani sana Chadema
Huko Ukurasani X mchungaji Msigwa amebubujikwa machozi akisema " Ukivumilia unaonekana huna pa kwenda Na Ukienda unaonekana huna...
Inahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu;
"Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la...
Katika muktadha wa hali ya usalama nchini, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukandamizaji vinavyohusishwa na TISS (Idara ya Usalama wa Taifa). Baada ya mabadiliko ya Sheria, mamlaka ya TISS...
Hadi Sasa si CCM wala Vyama vya Upinzani vilivyounga mkono kusudio la Chadema la kufanya maandamano kupinga Utekaji
Unadhani ni kwanini?
Ahsanteni Sana 😂
Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara.
Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii...
Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa.
Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji...
Wilaya ya Mbulu ilianzishwa mwaka 1905 wakati huo mfumo wa utawala ukiwa wa majimbo na wilaya. Mbulu ilikuwa mojawapo ya wilaya 2 ktk iliyokuwa jimbo la kaskazini iliyokuwa na wilaya za Arusha na...
Kuna taarita ambayo sio nzuri.
Kuna ajali imetokea Barabara kuu ya Mwanga kwenda Same.
Taarifa zaidi kukufikia mapema
=====
Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
Kwanza niwape hongera wale wachache waliojitokeza kuzuia gari la watekaji jijini Mwanza na kuwaheshimisha wasukuma wote na Kanda ya Ziwa kwa ujumla.
Kila mmoja ana fikra tofauti juu ya...
Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu.
Kuna mauaji mengi zaidi haya...
Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu
___________________
1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji...
1. Acacia
Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...
NDUGU MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA,17 SEPTEMBA 2024
📍UVCCM TAIFA
17 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC)...
Kama ilivyo kawaida, inapofika miezi ya 9, 10 na 11 Shida ya maji huwa kubwa katika jiji la Dar es salaam. Cha ajabu jili jambo lipo kwa miaka nenda rudi, lakini Serikali hii dhaifu ya CCM...
Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule.
Wengine wanakiita Simba.
Wengine hawachoki kukifanyia fitna.
Ama kwa hakika wengine kwetu huyu:
Ndiye yule...
Wanabodi,
Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time.
Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri...
Kutoka Geita.
Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa.
Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM...
Mimi ni kada wa chama cha mapinduzi kwa zaidi ya miaka 18 sasa lakini kwa yanayoendelea sasa nimejikuta kukichukia sana chama changu.
Yanayonikera
1. Ukosefu wa ajira
2. Hali mbaya ya kiuchumi
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.