Hii hapa ndio Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili...
Jf,
Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake.
Mteua yuko makini sana
Mteule ni mcha Mungu sana
Bunge limepata mtendaji...
Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali...
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt...
Naibu Waziri Mkuu Dr Biteko amesema Serikali inafanya uchunguzi mkali kubaini Watekaji na Wauwaji wa Watu
Dr Biteko amesema suala la Utekaji limejadiliwa kwenye Vikao Vya CCM pia na mkazo...
1. Mh Rais nadhani haamini kama wengi tunavoamini kwamba suspect wa kwanza wa mauji ya usalama ni vyombo vya ulinzi na usalama
2. Nimeona akilaumu wanasiasa ati wanataka kuvunja amani yetu Sasa...
MOSHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameonesha kuridhishwa na kazi wanayoifanya askari wa polisi wa Tanzania katika kulinda amani na utulivu wa nchi huku akiahidi...
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa!
====
Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana leo Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili.
Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Naamini hoja hii inakuhusu kama wewe ni kijana wa Kitanzania unaependa maendeleo, haki na amani..
Ningependa kuwasilisha wazo kwenu vijana wenzangu wenye...
Kiongozi wa Chama Mstaafu, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuiwezesha Kampuni ya Taifa ya Mbolea (TFC) kwa mtaji ili kutatua tatizo la ucheleweshaji wa mbolea...
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula...
Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na hatimaye sheria iliyotungwa na Bunge hupelekwa kwa Mhe. Rais kuwekewa sahihi ili iwe sasa Sheria na ianze ktumika. Sasa ninauliza:-
Je, sheria ikitungwa na...
NDUGU MALISA GJ ELEWA KUWA SI UNIT YA UANAHARAKATI NI JELA AU KIFO. UKISEMA UNAOGOPA KIFO NA HUJUI HATMA YA WATOTO WAKO. NI KWAMBA HUJUI UNACHOKIFANYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nimeona...
Meya mstaafu wa jiji la Dar es Salaam, Boniface Jacob, amesema kuwa alipokea taarifa kwamba Jumanne, tarehe 10 Septemba 2024, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kupitia Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa...
Mwarabu amewaonea huruma, mnataka au Hamtaki?
======
ATANZANIA wataanza kunufaika na fursa za ajira nchini Oman baada ya kuhitimishwa kwa majadiliano ya kuratibu ajira hizo kwa ajili ya...
Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa?
Lakini hiki chombo muhimu( CPCT)...
MISUKO SUKO WANAYOPATA HAMAS NA MISIMAMO KATIKA KUPIGANIA HAKI ZAO NA NCHI YAO KUTOKA MADH-LUMA
Tangu Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, alipouawa mjini Tehran, mji mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.