Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika kumlilia Askofu Dr Chediel Sendoro wa Dayosisi ya Mwanga aliyefariki Kwa ajali ya gari Askofu Dr Bagonza amesema amepoteza Rafiki na Mshauri Nimepoteza Rafiki ambaye aliweza kunieleza...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao...
0 Reactions
7 Replies
528 Views
Huwa tunakosa focus , mabango mengi kila bango lina ujumbe wako ,sasa watawala wafanyie kazi kipi ? Katiba mbovu ndio chanzo cha kila kitu hasa upande wa madaraka ya Rais na muundo wa tume ya...
3 Reactions
17 Replies
558 Views
Watu wakiwa kwenye madaraka, wanajisahau kabisa kuwa nao ni binadamu tu kama wengine na yote yanayowapata binadamu wengine (magonjwa, vifo, n.k), na wao yanaweza kuwapata wakati wowote wakiwa...
4 Reactions
9 Replies
768 Views
Nimeisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri jana. Nikiri sijawahi kumwona na kumsikia Rais Samia akiongea kwa namna ile. Hotuba yake ilibeba ujumbe mzito ulioelekezwa kwenye anuani tatu, hivyo...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Ndugu yetu Luhaga mpina nimeona akizungumzia Suala la Sukari!! Asilolijua na msilolijua ni kuwa suala la Sukari lina mizizi kutoka jumba jeupe Kijana wetu pendwa anayetrend sasahivi na Mzaziwe...
22 Reactions
61 Replies
2K Views
Akiongea na BBC Swahili hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hatimaye amezizungumzia tetesi na tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba CHADEMA wana hulka ya...
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia. Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki...
49 Reactions
144 Replies
4K Views
Nakubaliana na Amiri Jeshi Mkuu, kuhusu umuhimu wa kutafakari matukio kama ya risasi kwa Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani. Ikiwa tukio kama hilo lingetokea Afrika, jinsi ambavyo ubalozi na...
1 Reactions
10 Replies
553 Views
Tumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo...
1 Reactions
11 Replies
383 Views
Rais Samia amini kwa dhati nilikupenda na niliamini kweli umekuja kutufuta machozi baada ya miaka 6 ya hofu na mateso mengi. Ulianza vizuri kufanya upatanisho baada ya mtangulizi wako kuichafua...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Hotuba ya jana tarehe 17 Septemba 2024 imenipa simanzi sana. Lakini nimeokota neno moja linalotumiwa kule Kizimkazi. Neno hilo ni MHULUKUTABU na lilitolewa ufafanuzi kuwa ni mtu ambaye akiona kuna...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Tuache kuamishana ujinga ukweli ni kwamba Tanzania haiwezi kuendelea kamwe. Watu wajinga wajinga wenye tuakilli tudogo wanatwaa madaraka akishaanza kulindwa siku mbili tatu na polisi na wanajeshi...
2 Reactions
5 Replies
487 Views
Hizi kauli za wanasiasa aise zinakera zinachafua moyo na zinachukiza Katibu Mkuu wa Democratic party anaulizwa anazungumziaje kupigwa Risasi kwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu...
2 Reactions
12 Replies
596 Views
Huenda tunajua au hatujui ila 2025 mgombea yoyote mwenye mienendo ya Kimagufuli uchaguzi hautakuwa upande wake. Mgombea atakayekuwa katikati ya Magufuli na Kikwete kiuongozi huyo atakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Hakuna aliye juu ya sheria, maana yake ni kuwa si "Kiongozi","Mtawala" na wala si "Mtawaliwa" au "Mwananchi" wa kawaida aliye juu ya sheria. Kwa maana kwamba hata pale kiongozi akisigina katiba...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Katibu Mkuu alizungumza vizuri kwa maslahi ya chama na umma. Aliamini vyombo vya ulinzi vina makosa, ama kwa kuhusika moja kwa moja kama wanavyoshutumiwa au kwa kutotekeleza wajibu. Mwenyekiti...
16 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu habari, Sio wote JF wenda wanaguswa na yanayoendelea ndani ya nchi hii (zingatia wapo machawa wa ccm) Taifa sasa linajaa laana za watu kutwekwa, kuuawa (machozi ya damu). Nani yupo nyuma...
11 Reactions
66 Replies
3K Views
Baba yangu alikuwa mwaliimu, alistafu mwaka 2014 baba yangu mdogo wa hiari alifuata akastaafu 2015. Kimbembe ni kwamba tangu walipostaafu miaka ile mpaka tunapoongea muda huu hawajapata hata...
0 Reactions
4 Replies
275 Views
MITHALI 11:6. HAKI HUOKOA WENYE HAKI. FITNA ZA KISIASA ITAWANASWA WENYE HILA. HAKI NDIO USALAMA WA NCHI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mithali 11:6 Haki yao wenye haki...
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Back
Top Bottom