Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kila mtu anajifanya kulalamika ooh watanzania waoga. Ooh watanzania hawajielewi. Ooh watanzania hawajui haki zao. Sababu tumeona Kenya vijana wanaandamana. Lakini hapa Tanzania Rais ameruhusu...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Kauli za Mheshimiwa PM Mizengo Pinda na Waziri Ofisi ya Raisi "TYSON"......................zinathibitisha ya kuwa CCM ina hofu kubwa ya kuondolewa madarakani kwa maandamano kutokana na hoja zao za...
0 Reactions
395 Replies
45K Views
Baada ya Chadema kutangaza maandamano kupinga kutekwa na kuuwawa kwa Wanachama wao na Watanzania kulitokea ka tension kadogo. Tension hii ilipata msisimko baada ya Viongozi wa dini kuanza...
16 Reactions
77 Replies
4K Views
Taarifa zilizopatikana ni kwamba RPC Mbeya amepiga marufuku maandamano ya CDM kwa sababu ya taarifa za kiintelligensia. Kwa mara nyingine tena watawala wanaingia woga na kuweweseka...
2 Reactions
229 Replies
21K Views
Wakuu, Hivi sasa ndio tunajipanga ili kuanza Maandamano yetu. Mji umejaa hamasa kubwa kila ukipita bendera za CHADEMA na ishara ya vidole viwili ndio vimetawala. Watu wamependeza sana na...
30 Reactions
751 Replies
82K Views
Ukweli ni kuwa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha ndio ilipaswa kumshauri RPC kutengua Kibali cha maandamano ya CHADEMA Ili kupisha mazishi ya kimkoa Uwanja wa Sheikh Abeid. Unaweza...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Leo Chadema wameanzisha maandamano ya amani Arusha kupinga uchaguzi wa meya wa Arusha ambao haukufuata taratibu sahihi. Maandamano haya ni baada ya kupewa kibali na kamanda wa polisi wa Mkoa wa...
0 Reactions
2K Replies
142K Views
Katika hali ya kawaida, inawezekanaje TEC, Wachungaji, Masheikh, Mabalozi, Vyombo mbalimbali vya kimataifa, Raia wapige kelele za kupinga utekaji, utesaji na mauaji ya watu Nchini halafu viongozi...
2 Reactions
4 Replies
225 Views
Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera...
6 Reactions
20 Replies
737 Views
Sasa ni dhahiri kwamba Msimamo wake unakinzana na Mwenyekiti wake ambaye pia ndio Mamlaka yake ya Uteuzi Kila mtu amesikia kila neno kutoka kwa Wawili hao na wala hatuna haja ya kuyarudia. Swali...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
My Take Naunga mkono hoja, ukimya wa Rais Samia haijawahi kuwa ujinga Wala udhaifu na kama Wapinzani Wameshindwa kuheshimu uhuru waliopewa basi watarudi waliokuwa tuone kama waliowatuma...
3 Reactions
156 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais wetu mpendwa na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan Leo Jumatano amekutana na kufanya mazungumzo na Princess Sophie Hellen Rhys-Jones, ambaye mke wa...
1 Reactions
3 Replies
312 Views
Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Muktadha Hali ya ajira ya watumishi wa umma kati ya Tanganyika na Zanzibar inahitaji uchambuzi wa kina. Kuna dalili kwamba kuna ukosefu wa usawa, ambapo watu kutoka Zanzibar wanaonekana kupata...
0 Reactions
4 Replies
394 Views
Wanabodi, Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR. Lakini kwanini, vyama...
2 Reactions
3 Replies
254 Views
Mheshimiwa Rais, Nakusalimia Popote Ulipo Mimi kijana wako, Sifi. Leo usiku wa tarehe 17, sikufanikiwa kupata usingizi kamwe. Chanzo cha kukosa usingizi ni hotuba yako uliyoitoa mkoani...
2 Reactions
4 Replies
302 Views
Clip inajieleza wazi: Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili...
0 Reactions
2 Replies
295 Views
Mama ameanza kudanganywa tena wale wale waliotunga kesi na ushahidi wa uongongo kwa Mbowe ndiyo hao hao wanamdanganya kwa itelegisia fake za kitoto. Eti Chadema wameenda Kwangulelo kupanga kuleta...
3 Reactions
7 Replies
256 Views
Back
Top Bottom