Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa...
7 Reactions
75 Replies
4K Views
Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki...
23 Reactions
101 Replies
2K Views
Kwa kuwa wenzetu Zanzibari wameamua kuwa na kila kitu chao kinachowatambulisha kama taifa nadhani na sisi watanganyika ni muda wa kuanza kufufua matumaini ya kuwa na utambulisho wetu kama taifa...
6 Reactions
24 Replies
807 Views
Serikali hii iliingia kwa mbwembwe mara chanjo ikadunda! Mara kufungua nchi na safari kibao lakini hamna la maana linaloonekana kwenye maisha halisi! Kurudisha wezi na wababaishaji kama akina...
7 Reactions
5 Replies
664 Views
Hilo ndio swali la msingi, inakuwaje kila anapopanga vurugu zake anazielekeza mikoa mingineyo? Moshi kuna nini? Mbona hapeleki maandamano huko? Kwani huko sio sehemu ya Tanzania? Huyu ana agenda...
2 Reactions
24 Replies
611 Views
Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi...
4 Reactions
8 Replies
545 Views
Mwenyekiti wa CCT Askofu Dr Shoo, Askofu wa Katoliki DSM na Kiongozi wa BAKWATA Shehe Ponda kwa nyakati tofauti wamekemea Utekaji na Mauaji lakini hawaoni Maandamano kama ndio Suluhisho la tatizo...
1 Reactions
3 Replies
191 Views
Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Imetajwa kwamba, pamoja na Waandamanaji kubeba Mabango kwa lengo la Kupaza Sauti ili kupinga Utekaji na kuifahamisha Dunia kuhusu Mambo ya kutia aibu yanayofanyika Tanzania huku viongozi wote...
17 Reactions
157 Replies
3K Views
Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo...
1 Reactions
3 Replies
273 Views
Wana Jf, Salaàm! Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go. Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha -...
3 Reactions
39 Replies
767 Views
Bila shaka hii ni kuelekea uchaguzi mkuu: Bila shaka itakuwa ni habari njema sana hii kwa wale wa Israel wa kwetu.
21 Reactions
102 Replies
4K Views
Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao...
4 Reactions
133 Replies
5K Views
Nimeogopa sana 🐼 Kwamba kikisomwa kisomo Cha Kisasi basi usitegemee kitakuwa kama risasi itakayomlenga moja Kwa moja jambazi la hasha itaanza kufagia kwanza Chawa na Wapambe wa tukio zima...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
IKUNGI-SINGIDA, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa watu wanaoujua mchezo wa chase huu mchezo uchezwa na watu wenye akili tu. CHADEMA isikubali kufungwa chase na watu wenye akili ndogo kama hawa, iko hivi; umma wa Tanzania tuna maswali lukuki...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
10 Reactions
410 Replies
10K Views
* Asema unampigia debe mmoja wa wanasiasa nchini * Aonya walio chini yake kutojiingiza, Tume yasema ni hatari NA MWANDISHI WETU MKUU wa makanisa ya Evangelistic Assemblies of God Tanzania...
2 Reactions
163 Replies
24K Views
Back
Top Bottom