Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii.
Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika...
Tunatakiwa kujiuliza kwanini nchi inapotaka kufanya maandamano ya amani na ku express hisia za wananchi, CCM huwa inahaha kuhakikisha hilo jambo halitokei, kuna nini? Shida ni nini?
Je ni mkate...
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya...
HUYU NI MBOWE YUPI?
Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba.
Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti...
Wengi hatufurahishwi na kinachoendelea nchini kwasasa. Utekaji na mauaji kwa watu wasio na madhara kwa serikali ni uonevu na kujiabisha kama nchi. Hili lazima lidhibitiwe
Huenda yanayosemwa ni...
Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani...
My Take
Ingekuwa ni 🇹🇿 wangeibuka wale wajamaa mbuzi na wenye chuki Kwa Rais na kueneza propaganda kwamba SSH ameuza Urithi wao.
Inaonekana tatizo sio ubinafsishaji Bali tatizo ni ubinafsishaji...
Yule Rais wa Watu Rais wa Kitaa ametoa wito kwa watu wote wenye mapenzi mema kuungana kukemea hali ya kutisha inayoshamiri na kuharibu Taswira ya Nchi yetu.
Msanii huyo wa Nyimbo za mziki wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari...
Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na...
Kuelekea maandamano ya CHADEMA ni Bora tukajiuliza yatamnufaisha nani Zaidi
Hapo jirani Raila yuko Paris na Ruto hapigi tena kelele Kwamba Rais anasafiri sana 😂
Damu za Gen Z zimewapa Ulaji...
Kati ya mzee JOSEPH BUTIKU na Dr. EMMANUEL NCHIMBI nani ana busara? (Hatima ya mkoa mkoa wa RUVUMA na viongozi wake
Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa mbunge wa Jimbo la Songea mjini...
DKT SAMIA MITANO TENA NA MIMI BADO NAUHITAJI UBUNGE
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kuendelea kuitaka nafasi ya Jimbo la Ruangwa, anakowakilisha hadi sasa aidha na kusema Rais Dkt...
Siku viongozi wastaafu wataacha kuteuliwa kwenye nafasi mbalimba itawasaidia sana kujiandaa kustaafu kwa angaliu kuwa na kipato chakuwawezesha kuishi uraiani kwa miaka mitano
Viongozi wengi...
Leo nina hasira zote na kizazi hiki kichovu kinachopenda kulelewa na kudhani bila ya kuwezeshwa hakiwezi chochote
Hivi unajua, imefikia mahala, kijana anafikia miaka 40 hana familia? Hajao? Hiyo...
Siongezi wala sipunguzi. Sikilizeni kabla mods hawa delete huu uzi.
Sheikh Ponda Issa Ponda ameibuka na kuonyesha kukerwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea nchini. Katika maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.