Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Makamu Mwenyekiti Huyo wa Chadema, Amesisitiza kwamba hakuna namna yoyote ya kusitishwa kwa Maandamano hayo zaidi ya kuwarejesha waliotekwa, kama ilivyoelekezwa siku ya Azimio la Maandamano hayo...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
kipara kipya, Lucas Mwashambwa, the big boss, CHAWA, ChawaWaMama na wengine. Naomba majibu. Kwanini hamjiamini? Je ni kweli bila figisu CCM haishindi?
6 Reactions
44 Replies
920 Views
Taarifa nilizonazo zinaeleza kwamba Freeman Mbowe na timu yake iliyoko bungeni na hazina wanajipanga kuuthibitisha umma kwamba wabunge wa Tanzania wameongezewa mshahara kutoka milioni 13 hadi...
11 Reactions
71 Replies
4K Views
Nimeshitushwa na maneno ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa alipokua akiwahutubia wananchi wa Iringa kuwa Mabomba ya gesi inayochimbwa Mtwara yanaelekezwa Ulaya badala ya kuelekezwa kwa wananchi wa...
11 Reactions
576 Replies
57K Views
1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya...
12 Reactions
11 Replies
774 Views
Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio...
1 Reactions
2 Replies
279 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na...
4 Reactions
88 Replies
3K Views
CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna kila haja na lazima kwa CCM kujipanga upya katika idara yake ya Propaganda. Ni ama idara hiyo imefeli ama haipo kabisa kuweza ku-attack mabomu ya Chadema. Kama ni vita basi tunaweza...
3 Reactions
18 Replies
598 Views
Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
6 Reactions
20 Replies
718 Views
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameeleza namna alivyopata taarifa za kutenguliwa kwake katika nafasi hiyo. “Utenguzi wangu kuna mtu alinipigia simu...
14 Reactions
153 Replies
9K Views
Kamati ya Kudumu Bunge Maji na Mazingira imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inayotekelezwa na Mamlaka ya...
1 Reactions
5 Replies
314 Views
I. NYERERE ANATANGAZA KIFO CHA SOKOINE Ilikuwa majira ya jioni tarehe 12 April 1984 kwenye taarifa ya habari ya saa 10.00 jioni mwaka 1984; kama ilivyokuwa kawaida ya nchi zote za Kikomunist...
60 Reactions
224 Replies
47K Views
Nchi ya Zambia yakumbwa na mgao mkali wa Umeme Kufuata chanzo kikuu Cha umeme Kariba Dam kukauka Kwa sababu ya Ukame wa La Nina. Ikumbukwe TMA imetoa tahadhari ya mvua kidogo au sawa na wastani...
5 Reactions
53 Replies
1K Views
Jina langu ni Clearmind. Natambulika hivyo hapa JF, japo kwa muda sasa nahangaika kutimiza ndoto zangu mbali na nyumbani. Natamani kukiri kwamba najivunia kuwa Mtanganyika. Katika siku hizi za...
8 Reactions
39 Replies
974 Views
Mtu kuwa maskini Tanzania ni kigezo iikoja wapo cha uongozi kwenye jamii. Kigezo cha umaskini kimefungamanishwa na kilimo hivyo kila kiongozi anaamini ni mtoto wa mkulima na kwamba ni maskini...
3 Reactions
4 Replies
338 Views
Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Ukiwaikiliza wanavyoongea wamefura kwa hasira ni rahisi tu kugundua chanzo cha hasira zao Mpina na Prof Assad ndio wanaongoza Tanzania kuumia kuondolewa vyeo vyao walivyokuwa navyo .Mpina anaumia...
1 Reactions
9 Replies
236 Views
*Aelezea uhusiano wake na Mwigulu, Lwakatare *Asema yeye bado ni mwanachama hai wa Chadema, amkwepa Kibanda SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa mwenza wa Mkurugenzi wa...
2 Reactions
167 Replies
14K Views
Back
Top Bottom