Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika. Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali...
20 Reactions
68 Replies
2K Views
Nchi nyingi Duniani zimeingia kwenye machafuko kutokana na wazee kukosa uzalendo na kuendekeza tamaa. Wazee wengi wenye miaka zaidi ya 50 wamekuwa mstari wa mbele kukandamiza haki huku wakitumia...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Huwa natamani kuelewa vizuri. Sijajua vizuri kama Mbunge analipwa mshahara kila mwezi kwa miaka mitano, lakini ninachofahamu ni kuwa bunge likivunjwa baada ya miaka mitano huwa wanapewa hela...
15 Reactions
47 Replies
3K Views
Kama Kuna DC yuko makini hapa Tanzania Kwa utawala huu wa Mama Samia Suluhu Hassan basi ni huyu Shaka Hamdu Shaka https://youtu.be/u-qWcijdxes?si=sI8X2fFbSaTAgdW4
4 Reactions
29 Replies
804 Views
Amani iwe nanyi wapendwa wezangu Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
https://youtu.be/rRX69RNBKRA?si=iYAr-ihL2RkNcnDY Video inatrend sasa hivi. Mzee Thani anaelezea jinsi Kassim Hanga alivyouawa kikatili; jinsi wafungwa walivyoteswa gerezani. Jinsi alivyogambana na...
6 Reactions
5 Replies
240 Views
Heshima sana wanajamvi, Katika miaka ya karibuni (labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya club mbili kubwa Simba na Dar Young Africa. Ushabiki wa mpira, ngoma, kwaya...
39 Reactions
175 Replies
4K Views
Watanzania mnaotaka kuzungumza na Mhe. Rais mnakaribushwa kujadiliana naye. Anasoma na kutafakari yale yenye tija kwa Taifa na atayafanyia kazi. Zumza naye kwa kuandika hoja yako hapa. Uwezekano...
2 Reactions
8 Replies
357 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara. Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na...
11 Reactions
25 Replies
1K Views
Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye maono ya kuleta mabadiliko nchini Tanzania, hasa katika masuala yanayohusiana na vijana. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mwamko mkubwa...
0 Reactions
2 Replies
252 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania na ni moja ya vyama vya kisiasa vilivyodumu kwa muda mrefu barani Afrika. CCM ilianzishwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama...
1 Reactions
24 Replies
618 Views
1. Aliyestahili kumpatia taarifa Makamo wa Rais juu ya kifo cha Rais Magufuli ni daktari wa Rais. 2. CDF Mabeyo alikuwa mkuu wa majeshi ndiyo, yeye pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya usalama...
35 Reactions
219 Replies
15K Views
Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na...
18 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho. Barabara zote ni mashimo na...
0 Reactions
4 Replies
790 Views
Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema...
0 Reactions
8 Replies
387 Views
Shetani ameingia kwenye nchi yetu, anayetaka kutuaminisha kuwa uhai wa mwanadamu si chochote, unaweza ukauondoa wakati wowote unaoutaka, tena kwa sababu za kipuuzi kabisa, eti wanakosoa Serikali...
1 Reactions
7 Replies
231 Views
Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika...
3 Reactions
10 Replies
706 Views
Nawasalimu nyote katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo Najua Deus Soka aliyepotea bado hajapatikana hivyo ni vema mchungaji mkuu wa kundi la Chadema akawaacha Wengine wote Ili...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Ni ushauri tu Kwamba wamiliki wa zile plot za ufukweni waziendeleze Pale Pwani wako akina Abdulahman, Sykes, Kigoda, Wasomali nk Mzee Mohamed Said wakumbushe akina Sykes wajenge Ili Amani irejee...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Back
Top Bottom