Kupigania ukombozi wa nchi ni harakati zote zenye lengo la kuitoa nchi katika mifumo ya dhuluma katika kipindi chochote. Huku kupo sawia na kupigania uhuru kwa kina Mandela, Nyerere, Samora...
Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja.
Taarifa...
Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi, ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anajulikana kwa kuwa kiongozi mwenye maono (visionary leader) na anayejali misingi ya demokrasia. Kumsifia kama...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka uchunguzi wa kina ufanyike kubaini wahusika wa mauaji ya kada wa Chadema, Ally Kibao siku moja baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
Balozi wa Norway Nchini Tone Tinnes, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yanayofanyika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam amesema “Utafiti na masomo yanaonyesha kwamba hali ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma ujumbe huu wa Mheshimiwa Balozi Hamis Kagasheki useme alimaanisha nini.soma kwa kutulia na ujibu baada ya kutafakari na kuelewa na siyo ukimbie mbiombio kujibu tu...
Kiukweli nahisi Maandamano ya mioyoni miongoni mwa Wananchi yamepamba moto
Mungu wa mbinguni utufanyie Wepesi tujapopita Kati ya bonde la uvuli huu wa utekaji
Kiukweli kama Taifa tumuombe sana...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa...
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam.
--- UPDATE MAY 11, 2021--...
Naendelea kusisitiza tu hoja zangu
Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema
Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na...
Nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa RPC Mponjoli na ndugu Msukuma nikakumbuka Miaka Miwili iliyopita nliishi Jijini Mbeya na nikafanikiwa kukaa mpaka Tukuyu kikazi kwa Mwaka Mzima.
Mponjoli ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mambo ambayo CCM huwa makini nayo na kutofanya mzaha au majaribio au kukosea basi ni katika suala zima la kusuka safu nzima ya uongozi wake ndani ya chama.inafanya...
JamiiForums imemtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kaster Ngonyani kuhusiana na tukio hilo ambapo amesema "Ndio ni kweli, taarifa za tukio hilo...
Ni kauli ya hekima kabisa kutoka kwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
Hii nchi kila kitu tumegeuza siasa hadi wadudu wachafu chawa nao kwa Tanzania ni siasa
Bure kabisa 🐼
Jumaa Mubarak 😀
Mheshimiwa rais wa nchi amevipa majina vituo vya train ya sgr kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
---
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa majina ya vituo vya stesheni za treni ya...
Kwa siku za karibuni kumekuwako na chuki kubwa hapa nchini hasa kutokana na matendo ya utekaji, mateso, kukamata watu hovyo pasipo kufuata sheria na hatimaye mauaji.
Vitendo hivi vimekasirisha...
Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga,
Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa.
Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali...
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari anadaiwa kuvuliwa ubunge kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu ya bunge, jambo ambalo ni kinyume na sheria na taratibu za...
Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.