Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa.
Kila siku wapinzani wanalalamika...
Ni muhimu sana wakafanya tafiti za kutosha na kuibua sera, mipango mikakati, na uelekeo mahususi utakao washawishi wananchi wengi zaidi na kukonga nyoyo zao, na hapo ndipo watakua na maana...
Kufuatia kauli ya Freeman Mbowe kiongozi wa Upinzani nchini .chini ya Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ya kututaka wwanachi tuandamane kikanda.
Kushinikiza mambo mbalimbali...
Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali".
Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya...
Wakuu, mnamuelewa kweli Masauni?
Sativa baada ya kufika tu hospitali alihojiwa kwa masaa matatu kabla sijakosea akieleza yote, polisi wakiwepo pamoja wanaandishi wa habari halafu anakuja...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu...
Licha ya Lissu kuomba radhi kwa kile kinachoonekana ni kukubali maridhiano na serikali ya Raisi Samia, ukweli ni kwamba, Lissu amekubali akiwa ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA uliofika hayo...
Mkuranga: Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga wamepitisha Azimio la Kuomba Serikali kuipandisha hadhi Wilaya hiyo kuwa Manispaa Kwa kile walichodai kwamba Wilaya Yao imetimiza...
Kuna tetesi za kuaminika kwamba kompyuta ya mapajani (Laptop) ya mkuu wa kaya imepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Salva karibu for comments................
Ndugu zang ccm imepoteza mvuto tangu CHAMA hiki kilipovamiwa na wanfanya biashara wakubwa miaka ya 1990s, kinyume na malengo ya kuasisiwa kwake, si CHAMA CHA wafanya kazi na wakulima, ni CHAMA...
Nimeliona andiko la kumchafua Waziri Membe na Jack Gotham ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake, lakini nataka niwahakikishie tu kwamba halina chembe ya ukweli hata...
Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema...
Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema...
by Israel Arogbonlo September 11, 2024
[Source: NIGERIAN TRIBUNE ONLINE]
In this article, TRIBUNE ONLINE highlights top six leading debtors to the World Bank’s International Development...
Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA...
Picha linazidi kunoga
Dr Nchimbi amemshangaa mwanaharakati Huru aliyedai Polisi wamuhoji Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika kuhusu mauwaji ya Ally Mohamed Kibao
Nchimbi amesema Mnyika hata akiona...
Aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ambaye rais Magufuli alisema ni mtumishi wa umma upande wa Usalama wa Taifa, na mzee Azim Dewji ambaye aliwahi kushiriki...
Habari zenu,
Jina hili huenda si geni sana pia linaweza kuwa sio enyeji kwenye masikio ya wafuatilaji wa siasa za Tanzania, hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kumekua na taarifa kuwa kada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.