Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo anafanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kisesa mkutano unaotajwa kusubiriwa na hamu kubwa hasa baada ya kutangaza kuwanyima huduma za pembejeo za kilimo...
6 Reactions
16 Replies
982 Views
Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za...
0 Reactions
4 Replies
312 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na...
7 Reactions
89 Replies
3K Views
Wanabodi, Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila...
12 Reactions
60 Replies
7K Views
Chama dola kongwe kimeishiwa mbinu zote walizozoea kutumia kama silaha, ambazo ni Bunge, Mahakama, Sheria za Uchu wa Kubaki Madarakani, Propaganda Mfu Amani ipo Tanzania n.k 2024 September Mauaji...
15 Reactions
56 Replies
2K Views
WHY AFRICAN COUNTRIES ARE POOR AND WHAT CAN BE DONE African countries must understand that, all prosperities and poverty in their nations are the results of their citizens. Citizens are...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Kumekua na wimbi la matukio mbali mbali yameripotiwa kutokea nchini hivi karibuni. Unamaoni gani kwa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na kwa wananchi kwa ujumla kuhusu matendo haya...
5 Reactions
15 Replies
534 Views
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
Freeman Mbowe ni mwanasiasa mtulivu, mwenye werevu na uvumilivu mkubwa sana. Hadi imefika Mbowe anaamua kuwa Samia Must Go, basi ujue kwa kweli mambo hayaendi vizuri katika nchi hii na kuna tatizo...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano, Wakili wa chama hicho amethibitisha. Akizungumza na Mwananchi Digital leo...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Juma Kassim Kiroboto, maarufu kama "Nature", "Kibla", "Sir Nature", "Msitu wa Vina", na "Jitu Mwitu", ni jina linalobaki mioyoni mwa wengi kama alama ya sanaa yenye ladha ya uswahili halisi...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo...
0 Reactions
7 Replies
575 Views
Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele. Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania...
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa mfano Leo wafanyakazi wa Viwanja vya Ndege wamegoma kupinga Adani ya Wahindi kupewa Viwanja vya Ndege Watalii wamesumbuliwa sana na wamekasirika Mno Tanzania tutumie Fursa hiyo kuwavuta...
5 Reactions
25 Replies
466 Views
Bashe vs Dr Kigwangalla, Bashe alishinda na Kigwa akahamia Nzega Vijijini Prof Mkenda vs Dr Kigwangalla, Mkenda alishinda na Sasa ni waziri Wakati Kigwa ni Mbunge wa kawaida Mo Dewji vs Dr...
1 Reactions
4 Replies
494 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya...
15 Reactions
113 Replies
4K Views
Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje? Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea...
0 Reactions
5 Replies
288 Views
Kama kweli David Kafulila aliweza kukataa tasilimu TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Tegeta Escrow. Ni wakati Sasa chama Cha Mapinduzi CCM kumtazama kijana huyu kwa...
19 Reactions
131 Replies
2K Views
Maana wao wanakuwa kama maafisa usafi wa Jiji. Haya mambo utayasikia tu Afrika. Ulaya na Marekani ni ngumu.
2 Reactions
10 Replies
639 Views
NEC RUKWA SULTAN SEIF ANAVYOKWAMISHA MRADI MKUBWA WA TAZA Mradi huu Mkubwa wa Umeme sasa upo kwenye mashaka kutekelezeka kwa sababu ya hila Chafu za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
3 Reactions
0 Replies
505 Views
Back
Top Bottom