Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
On 7th July 1963, the president spoke against pomposity. Few days later (On July 13) he issued the following letter to all ministers and government officials. The letter was released to the press...
8 Reactions
58 Replies
8K Views
Je Unadhani Wabobezi wa Kizalendo wakiunda Tume ya Kijaji hawawezi kuchunguza Haya mambo ya kuteka na kuuwa? Ni lazima kuwaita Scotland Yard kwa jambo kama hili Katika miaka 60 ya Majeshi yetu...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani. Najiuliza...
23 Reactions
95 Replies
4K Views
CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
-1 Reactions
17 Replies
490 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amefanya mazungumzo na Professa Ali Tabibu Ibouroi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Comoro alipomtembelea katika makao makuu ya Chuo hicho. Prof. Ibouroi...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Hali inakoelekea tunakosa mtu sahihi wa kusimama nasisi ikiwa kiongozi anasema hajui chochote hata wakati ambao raia wake wanauwawa hafai kuchaguliwa hata kama atafanya maendeleo makubwa namna...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Na Mwandishi Wetu,Dar ES Salaam Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ametembelea mradi wa ujenzi wa matenki maalum ya kuhifadhia mafuta (Oil Terminal) wa TPA unaofanyika katika wilaya ya...
2 Reactions
5 Replies
316 Views
Samia Must Go ni uhaini, unaenda kujitesa mwenyewe na kutesa familia za wenzako, Lissu mkewe na watoto hawako nchini, Lema naye ni hivyo hivyo mkewe analishwa na wazungu huko Canada. Hiyo Samia...
15 Reactions
92 Replies
3K Views
Nimepita Tegeta juzi kuuliza yule kada alitekwa wapi,wale watu mostly waliniuliza "kwani yupo kada wa Chadema alitekwa?" Halafu yule mmoja akaniambia,"Ah yes,hata mimi nilisikia kwamba alitekwa...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro hujulikana kwa sifa kadhaa, ambazo ni pamoja na: 1. Elimu: Mara nyingi, inatarajiwa kuwa mwenyekiti ana elimu ya juu, kama...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Kauli Chonganishi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe kuhusu wananchi wa jimbo la kisesa, Jimbo halali lililo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake ni wananchi halali wa Taifa...
3 Reactions
18 Replies
881 Views
Kuna vitu ukiviona bado vinafanywa na viongozi wa kiafrika katika karne hii unabakia kucheka na kuwaza kuwa kumbe viongozi wa kiafrika bado wana akili za kitoto mnoo. Moja ya vitu vya kipuuzi...
21 Reactions
87 Replies
4K Views
Mwanzo 9:6 Inasema Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
1 Reactions
1 Replies
136 Views
Huwa nashangaa kwanini Serikali na CCM nyakati fulani huwa wanacheza Ngoma ya Chadema Migomo na Matembezi ya mshikamamo ndio hutangazwa lakini maandamano yanazukaga tu Chadema hawana uwezo wa...
2 Reactions
13 Replies
390 Views
Barabara za Tanzania ni kwa ajili ya magari sio kwa ajili ya maandamano kama za Kenya Mtu akitaka kuandamana aende porini huko akaandamane na ujumbe utafika
4 Reactions
12 Replies
437 Views
Mh Rais @samia_suluhu_hassan wakati tukisubiri ufanye maamuzi makubwa ya kuwaondoa ofisini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kwakushindwa...
5 Reactions
4 Replies
335 Views
Soma Pia: Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom