Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Armenia ameonyesha kufurahia sana na kutabasamu pale alipopata bahati ya kuonana na Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha...
2 Reactions
87 Replies
2K Views
Salaam Kama Hamad Yussuf Masauni akigoma kujiuzulu, Rais Samia itabidi afumbe macho atengue uteuzi wake sababu ni aibu kwa mtu anayejiita Muislam safi, watu wanapiga, wanategwa na kuuliwa lakini...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema kuna baadhi ya Vijana Wanachama wa CCM wanatoa Kauli za Hovyo ila wameshaanza kuwafikisha kwenye Kamati ya Maadili Nchimbi amesema Hizi siyo zama za...
16 Reactions
64 Replies
3K Views
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza...
12 Reactions
80 Replies
6K Views
https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es...
12 Reactions
71 Replies
6K Views
Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America...
8 Reactions
16 Replies
961 Views
Anandika Khamis Kagasheki. Ninaona usumbufu wa kufunga barabara na kusimamisha magari unazidi kuwa mkubwa. Ukiuliza unajibiwa "msafara." Tatizo hili limekuwa likiongezeka lakini kwa sasa limekuwa...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Usikose kufuatilia marudio ya Mkutano wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katibu Mkuu wa CCM alipozungumza na Wahariri na waandishi wa Habari. Ratiba yake itakuwa kama...
2 Reactions
23 Replies
703 Views
“Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa...
0 Reactions
7 Replies
584 Views
Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (mb) atua kibabe Kisesa na kukutana na Mbunge wa jimbo hilo Luhaga Mpina ana kwa ana. Amtaka mbunge huyo kuacha siasa katika zao la Pamba...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya...
3 Reactions
4 Replies
417 Views
Ofisi za Makao Makuu BAKWATA Kinondoni Tanzania BAKWATA YATOA TAMKO KUHUSU JOTO LA UTEKWAJI NA MAUAJI. https://m.youtube.com/watch?v=J0sxfuUAyJI Tamko hilo rasmi la maandishi likisomwa na...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana, kusononeka sana,kushangazwa sana,kuumia sana ,kutoamini macho na masikio yangu kwa kile nilichokiona na kusikia maneno na kauli za waziri wa kilimo...
23 Reactions
219 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amesema katika kuhakikisha mshindi halali ndiye anayetangazwa kauli mbiu yao kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu itakuwa " Ubaya Ubwela" Shaibu...
0 Reactions
5 Replies
356 Views
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na...
25 Reactions
188 Replies
13K Views
Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi ,amesema CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio...
9 Reactions
103 Replies
4K Views
Waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema amewasikia kupitia mitandaoni mzazi wa polisi aliyefia mahabusu Mtwara na wazazi wa watu waliopotea Dar es salaam wakitoa malakamiko yao, na ameahidu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
MWANZA; Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amekutana na Mbunge wa Jimbo la Kisesa, wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina kwenye mkutano unaoendelea katika Mji wa Mwandoya Jimbo la Kisesa. Juzi...
4 Reactions
12 Replies
885 Views
Back
Top Bottom