CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na...
Ndugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna...
Kipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha...
Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki.
Lakini kati ya...
Nikiwa kama mtanzania mpenda amani ,naomba vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu vihakikishe kuwa siku ya hayo maandamano uchwara ya chadema ,viongozi wote wa chama haswa Mzee Mbowe,Mnyika...
Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard
Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako?
Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi...
Tangu kazi ya kuteka na kuua raia ianze katika nchi hii, sijawahi kusikia kada wa CCM kapotezwa na kukutwa ameuawa. Ijapokuwa mauaji kwa njia ya kuteka yalikuwepo tangu awamu ya kwanza lakini...
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa
TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa...
Jana nilitoa wito wa kuzitumia siku tatu za ibada za wiki(Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa ajili ya kukemea matendo maovu yanayofanywa Nchini na hasa mauaji ya watu. Kipindi kile cha...
Hello!
It's like a joke lakini ndio ukweli wenyewe.
Nchi hii wizi mbaya ni ule wa kuchukua mahindi mabichi shambani, kuiba kuku, kuiba simu , kuiba karanga , korosho, pipi na vitu vingine. Ila...
Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Menejimenti ta Wizara ya maji pamoja na...
Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha
Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi...
1. Kwa kunukuu maneno ya Joseph O. Mbilinyi (SUGU) na kwa kuwa simu zake zote zilipotea katika purukushani yake na polisi - Mbeya, nitasimulia kidogo.
2. SUGU na John Mnyika walipigwa sana...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
Viongozi wetu wawajibike kwa makosa yao.
Jumatano, Septemba 11, 2024
By Wakili Paschal Mayalla
Kitu chenye thamani kubwa...
Mjadala: Jinsi ya Kuwafanya Wahitimu wa Vyuo Vikuu Vyetu Kuwa na Uwezo wa Kukopesheka na Mabenki ili Kufanya Biashara au Ujasiriamali
Tunapozungumzia kuhusu maendeleo ya kiuchumi na nafasi ya...
Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali.
Ni kumpa tu Elimu angalau sasa...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao Marehemu alikuwa Mjukuu wao. Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa Mwanasiasa huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.