Japo inafahamika kwamba Tulia Ackson hana Aibu yoyote kutokana na uzoefu wake kwenye Mambo ya ajabu, Ukizingatia kwamba Alikuwa anatembea na Majeneza kule Mbeya wakati akisaka Ubunge (Ishara ya...
Hii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle.
Paul Mselle amesema haya...
Pasi ya kusafiria ni 'document' ya kiusalama na ni haki ya kiusalama na ni mali ya...
Tuzungumze ukweli tuache unafiki na ushabiki maandazi
Huyu mama tokea amepewa nchi kafanya kipi cha maana cha kumgusa mwananchi wa chini?
Hapa sizungumzii miradi ya Magufuli, yeye Samia toka...
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
Jukumu kuu la kwanza la Serikali yoyote Duniani ni kulinda uhai wa raia wake.
Kiongozi Mkuu wa Serikali ni Rais. Hivyo jukumu kuu la kwanza la kiongozi mkuu wa Serikali ni kuwalinda raia wake...
GTs,
Kwa sisi watalaamu wachache wa historia, kama ulisoma kitabu cha utawala wa Warumi (Roman Empire), utakubaliana kuwa utawala wa Dkt Samia ni kama wa emperor Commodus. Yaani Dkt Samia toka...
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi...
Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo amefanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Tume ya Ushindani (FCC)
Kulingana na taarifa iloyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri...
Nashangaa sana kusikia Kauli za baadhi ya Viongozi wa CCM wakisema Eti UCHAGUZI ujao utakuwa HURU na HAKI. Najiuliza huo HURU na HAKI ya UCHAGUZI utapatikana vipi wakati VYOMBO na WATENDAJI bado...
Nadhani Mungu wa mbinguni anawauliza mlichokuwa mnagombania ni nini?
Hii Dunia imejaa Hila, Udanganyifu na Dhulma
Yesu Kristo alisema " itamfaa nini mtu kuupata Ulimwengu wote na Yeye mwenyewe...
Nimekaa nawaza kwanini watekwaji wanakufa vifo vya kuteswa sana mpaka kiasi cha kufikia hatua ya kupigwa nondo mpaka kufa?
Lengo la watekaji huwa nini Kuna taarifa gani huwa wanazitaka kutoka kwa...
Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa
Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake
Hakuna Taifa Bila Watu...
Mwenye uelewa jamani maana ni Heri kuziba nyufa kuliko kuja kujenga UKUTA
Sheikh Mussa Salum na Kamati yake Wana majukumu gani Kwa sasa?
Ahsanteni
cc: The Big Show, Lucas
Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea...
Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo...
KATA ya Mzingani, Tanga, nyumbani kwa Ali Mohammed Kibao, ni eneo la tukio. Watu wanazomea, makofi yanapigwa na mayowe ya kushangilia. Ajabu, mkusanyiko ni wa msiba. Shughuli ni mazishi.
Ali...
*Asema wanaomtishi watakamatwa
JESHI la Polisi limempa ulinzi wa siri Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe (CHADEMA) kama njia ya kumkinga asidhuriwe na maadui wake katika siasa.
Hatua hiyo ya...
Siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Zitto Kabwe, mama yake mzazi, Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa kilichomkuta...
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani, mh. Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.