Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora...
2 Reactions
3 Replies
277 Views
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA. Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA...
8 Reactions
91 Replies
5K Views
Wanabodi, Kuna wimbi kubwa la maofisa wa juu wa jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi, JWTZ na Usalama wa Taifa kustaafu kwa wingi na kwa mpigo siku ya Tarehe 31/12/2015, if watu hawa they'll be let...
5 Reactions
23 Replies
13K Views
Kama utatueleza ulitumiaje Fedha za Mfuko wa Jimbo la Iringa Mjini kwa miaka 10 mfululizo uliyokaa bungeni tutakuelewa sana Ritha Kabati Semwamoto ni Mbunge wa Viti Maalum ulikuwa naye Bungeni...
1 Reactions
8 Replies
303 Views
Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri...
1 Reactions
4 Replies
187 Views
Akizungumza baada ya kuwasili nchini leo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R kinachonadiwa na Rais Samia na wapambe wake ni uongo mtupu. Hakuna cha 4R...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Hawa watu kama wanafikiri kuteka na kuua watu ndio kutafanya watu wawe waoga, kwa hakika wanakosea sana, na aliewashauri aliwadanganya kwa kutokuja na kwa kutofanya research ndogo tu kujua kama...
3 Reactions
17 Replies
565 Views
Mgongano wa ndani ndani ya uongozi wa Chadema unaonekana wazi katika namna wanavyoshughulikia Masuala nyeti kama uchunguzi wa utekaji na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mwenyekiti Freeman Mbowe na...
2 Reactions
3 Replies
285 Views
IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro baada ya kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi leo Dar es salaam amesimulia tukio ambalo hatolisahau akiwa kazini ambalo amesema ni la Askari Polisi kupigwa risasi na...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Nay Wa Mitego amesema hajawahi kuwa katika Chama cha Siasa lakini amechagua upande wa kuwasemea Wananchi ambao ni Mashabiki wake. Nay amesema hayo...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao. Lema amezungumza kama Mwenyekiti...
18 Reactions
73 Replies
5K Views
Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa...
1 Reactions
6 Replies
313 Views
Nchi na wananchi wanashangaa. Watu hata hawana majina makubwa kwenye siasa za upinzani wanatekwa. Wasipouliwa au wakiokotwa hoi na kupona husikii kwa uhakika nini kimewapata. Tukae tunatambua...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Binafsi nakumbuka BoT iliungua enzi za Chama kimoja baada ya Vita ya Kagera na Kamatakamata ya Wahujumu Uchumi Lakini bado nauona ushauri wa Tundu Lisu una mashiko Ili kuondoa mashaka mashaka...
3 Reactions
15 Replies
406 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji...
0 Reactions
4 Replies
350 Views
Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake 1. Kujenga viwanja vya ndege 2. Barabara zilizonyooka 3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk 4. Kujenga fly over...
0 Reactions
2 Replies
273 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usafiri Baharini (ANAM), Ndugu Mohamed Dahalani ambapo wamejadiliana maeneo kadhaa ya kufanyia...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Chama cha ACT-WAZALENDO, tambueni nyie ni chama cha upinzani siyo chama rafiki cha CCM kumbukeni nyie ndiyo kipaumbele chenu kilikuwa tume huru ya uchaguzi muliamini kuwa tume huru ya uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Back
Top Bottom