Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Prof Assad ambae alikuwa CAG ameendelea kupigilia msumari kwamba hakuwahi kustaafu Bali aliondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyume na Katiba. Bwana Assad amesema kabla kuondolewa kwake wakati...
8 Reactions
77 Replies
4K Views
Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu...
5 Reactions
7 Replies
384 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Wakazi ameandika hivi kweye ukurasa wake wa Instagram: Nimeona watu kwenye Twitter wakichukizwa na wasanii kwa kutosimama na jamii kupigania mambo muhimu, na mnafikiria kuanza kususia bidhaa zao...
2 Reactions
6 Replies
332 Views
Nawatakia kila la kheri wanafunzi 1,230,780 wa Darasa la Saba mlioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi leo. Mnatoka hatua moja ya elimu na malezi kwenda nyingine katika safari yenu ya...
1 Reactions
6 Replies
788 Views
Friends and Our Enemies, Baada ya kuichukua Nchi katika kipindi kigumu zaidi cha kuondokewa na mtangulizi wake, kitu kikubwa alichokifanya ni kujenga IMANI. Alijenga Imani kwa mfumo wa...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea. Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua...
13 Reactions
55 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku amesema siku hizi siasa zitaka kugeuzwa kama mchezo wa kihuni huku akidai kuwa nchini kuna Watu wanaopenda siasa...
4 Reactions
9 Replies
519 Views
Ndugu zangu wa Tanzania tumuombe Mungu aturejeshee Tanzania Yetu tuliyokuwa Mayo 1: Tanzania itakayothamini na kuheshimu utu wa watu wote 2: Tanzania itakayothamini na kuheshimu uhai wa watu 3...
0 Reactions
3 Replies
270 Views
Hivi 4R maana yake nini kwa sasa sijui maana yake nini. Mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao, mauaji ambayo si suala la kulifumbia macho. Kwa kawaida Kama tumeanza kuingia katika mauaji ya...
17 Reactions
66 Replies
4K Views
Muda mfupi sana tangu Mzee Kinana ajiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti bara, pametokea mambo mazito yenye kuchafua 'sura' ya nchi. Hapa nazungumzia utekaji, utesaji na mauaji. Najiuliza huyu Mzee...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
1 Reactions
17 Replies
764 Views
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa. Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia...
22 Reactions
87 Replies
3K Views
Leo tarehe 10.9.2024 Mzee Butiku amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu sintofahamu zinazoendelea hapa nchini. Kwanza nikupongeze sana Mzee Butiku kwa busara, hekima zako kwa kuishauri Mamlaka...
4 Reactions
7 Replies
674 Views
1. Nani aliyeshuhudia ndugu yenu kuwa alipanda gari la kwenda Tanga? 2. Nani alishuhudia alishushwa ndani ya basi hilo Kibo complex? 3. Nani alishuhudia bus lenye namba za usajili zilizotajwa...
-10 Reactions
73 Replies
5K Views
Binafsi mimi ni mwana CHADEMA ila nilichojifunza tunachofanya wana CDM ni kama ushabiki wa Yanga na Simba. Kwenye Siasa kuna kitu kinaitwa propaganda, tufikirishe ubongo kuna muda inayoonekana...
2 Reactions
14 Replies
424 Views
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia...
21 Reactions
83 Replies
7K Views
Bila shaka mheshimiwa Masauni waziri wa mambo ya ndani umepata ujumbe kwamba hali ya usalama wa raia si nzuri. Jukumu la kwanza kabisa la serikali ni kulinda raia wake na mali zao na wizara ya...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake...
1 Reactions
18 Replies
888 Views
Back
Top Bottom