Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale.
Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya...
Huyu Mkatukumeni na Mlei mwenzangu ambaye ni Makamu wa Rais wa JMT sijawahi kumsikia aki address jambo lolote liwe kubwa au dogo hasa kama linagusa maisha na hisia za Raia.
Ama kwakuwa sifahamu...
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza ningependa kuendelea kutoa pole kwa wana CHADEMA kwa kifo cha kiongozi wao.najuwa kibinadamu inaumiza , kusikitisha,kuhuzunisha na kutia simanzi.
Lakini ningependa...
Sijui Mch. Peter Msigwa anaweza kuwa na maoni gani akimwona mwamba Freeman Mbowe hasimu wake akiwa katika ubora wake kama hivi
Hii ilikuwa ni baada ya kuwa tukio la kuzomewa kwa Waziri Hamad...
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?
Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.
CCM kuna wastaafu pia...
Kila mtu alishangaa sana Rais Samia kuwapa nafasi hizo maaskari hawa (Camillius Wambura - IGP na Ramadhani Kingai - DCI)
Hawa ndiyo waliokuwa vinara wa kutengeneza kesi bandia ya ugaidi dhidi ya...
CHADEMA wasomeni watanzania siasa za shari hawazitaki kutokana malezi,elimu na utamaduni wetu msilinganishe na Gen Z ya Kenya wale
Gen Z ya Kenya wamelekewa malezi ya kizungu kuanzia malezi ya...
Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa...
Mimi ni mfanyakazi wa taasisi X ya umma hapa Shinyanga...
Nilichukua bima ya elimu (Education Provider With Profit) kwa ajili ya ada ya watoto wangu hapa tawi la NIC - Shinyanga yenye thamani ya...
Nimeshaandika mara kadhaa kupitia hapa JF kuwa kuna pigo linaweza kuja kuwapata watu fulani na hakika pigo hili ni dhahiri litatimia kwani watu hawa wameendelea kujisahau sana na wanaendelea...
Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali
1. Viongozi wanaotaka madaraka
2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo...
Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni.
Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za...
Habari zenu wanabodi,
Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Msigwa kwenye mahojiano hayo...
Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya...
Nilimsikia isdor mpango akikemea jambo kuhusu viongozi wa dini. Namuunga mkono. Alienda mbali zaidi kwa kusema viongozi wa dini Wanawaaminisha watu kwamba mungu anaweza kuponya magonjwa yao ama...
Jinsi ulivyo Uchaguzi mkuu wa 2025 ni Mpya na wa aina yake
Katika Mazingira kama Haya lazima waibuke Fisi wanaotamani madaraka kabla ya majira yao
Tuzidi kuliombea taifa letu
Tunayoyashuhudia...
Inafahamika kuwa 4Rs zilimnyanyua juu juu juu zaidi kimataifa Rais Samia kwenye nyanja ya demokrasia. Hii inaweza kuwa chanzo cha hasira kwa wale wote waliokuwa wakisema hataweza.
Bwawa...
Nauliza kutaka kufahamu yupo wapi Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Ndg Tundu Antipasi Lissu,
Zimepita takribani siku 15 tangu aonekane mara ya mwisho Twitter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.