Pamoja na kwamba Media zote za Ndani zinajiendesha kwa kugombania Matangazo ya Serikali lakini hilo haliwaondolei wajibu wao wa Kuwa Wazalendo
Kwamba sasa taarifa muhimu tunawategemea BBC...
Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai...
Rais Samia, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku...
Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao?
Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo?
Watanzania mlioko nyumbani, nendeni...
Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari.
Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili...
Wasalaam Watanzania!
Natumaini wote ni wazima wa afya kabisa na tunaendelea na kujilinda.
Kwanza kabisa naomba ku-declare interest, Mimi sio Mwanachama wa chama chochote cha siasa na wala...
Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote...
Mchungaji Peter Msigwa kada mpya wa CCM yupo live Star Tv.
Fungulia tumsikilize
Soma Pia: Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu
Jana tarehe 09 Septemba 2024 tumeshuhudia mazishi ya marehemu Ally Kibao aliyetekwa na wanaosadikika ni polisi na hatimaye kuokotwa kesho yake ameuawa.
Kilichojiri msibani ni pale waombolezaji...
nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini.
Mwenyezi Mungu awaepushe...
Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo...
Siku kadhaa zimepita Dkt. Tulia Ackson alikataa bunge lisijadili hoja ya watu kutekwa na kusema kuwa siyo Kila anayepotea ametekwa hivyo ona amekuja kuumbuka.
Kwa kifo cha mzee wa watu. Kwa...
Marehemu mzee Ally Kibao alikuwa ni mstaafu wa JWTZ ambaye pia alistaafu akiwa na cheo kikubwa Jeshini.
Kutokana na CV yake inayotajwa mitandaoni inaonesha kuwa marehemu alitoa mchango mkubwa...
POLE SANA JOSEPH WARIOBA KWA KUVAMIWA TENA NA RED BRIGADE YA CHADEMA NA KUJERUHIWA VIBAYA
Joseph Warioba aliwahi kuwa mkurugenzi wa ulinzi wa CHADEMA na baadae kuhamia CCM ambapo amekuwa mwiba...
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ndio maneno na ujumbe wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.mara baada ya kifo cha Askofu wa KKKT Dayosisi ya...
Heri ya mwaka mpya kwa wote.
Leo asubuhi katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI Naibu katibu mkuu ccm bara ndgu. Mwigulu Nchemba ametoa kauli nzito ya kwamba ANAYO NA ANAMILIKI CD YENYE VIDEO ya...
Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kumtaka Mchungaji Peter Msigwa kuomba radhi na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu...
Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa.
Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa.
Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa...
Mikutano ya Makatibu Wakuu wanakimbia ila hii ya roporopo anayoenda kuchamba chama chake cha zamani ahhhh, sababu inawachafua wengine na kuwapaisha wao.
Ngoje tuona Msigwa atakuja na jipya gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.