Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio taarifa yao .naiweka kama ilivyo pasipo kuweka neno langu hata moja wala nukta. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dodoma umelaani vikali...
1 Reactions
57 Replies
2K Views
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege. Ikumbukwe jiwe...
54 Reactions
255 Replies
26K Views
Tarehe 15/8/2024 chama cha mapinduzi huko jijini Mwanza kimefanya jambo la aibu ,dhihaka na kejeli mbele ya wazalendo wa nchi hii kwa kuwachangisha masikini ili eti msaliti Lisu apate gari...
4 Reactions
15 Replies
635 Views
Mtu aliyezunguka dunia na kupita kwenye vyombo mbalimbali vya habari akifurahi na kushangilia waziwazi kifo cha Rais Magufuli leo ni wa kulilia kwenda kuweka maua kwenye kaburi lake? Yani furaha...
7 Reactions
91 Replies
3K Views
Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike? Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to...
17 Reactions
89 Replies
5K Views
Mpo salama Wakuu! Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa...
13 Reactions
63 Replies
1K Views
Utamkuta mtu amejenga nyumba yake binafsi, ameoa au kuolewa, amepata mtoto, amehitimu kiwango fulani cha elimu, anasafiri, anaanza kwa kumshukuru mama. Wengine wanafika mbali zaidi hata kwenye...
5 Reactions
4 Replies
168 Views
Tumefika salama. Kumshindikiza mzee wetu ======= Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, amesema Rais amehuzunishwa sana na tukio hili, na kutoa wito kwa mtu yeyote kuacha kushutumu...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kila mtu ameumbwa na nguvu zake za ziada ingawa tunafanana, eiza ikwa ni sababu ya kuwa kalibu kiimani na Muumba wake, au na asili ya chimbuko la mizimu yake huko alikotoka Inawezekana...
20 Reactions
38 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao. Zomea zomea hiyo ilianzia...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
Tuliosoma vyuo vikuu tuliona. Vijana waliokuwa UVCCM ndo wengi wao walikuja kuajiriwa Serikalini na kuingizwa kwenye vyombo vya dola ikiwemo usalama wa Taifa. Mimi niliosoma nao waliokuwa mstari...
21 Reactions
40 Replies
1K Views
Katika jambo la kustaajabisha kabisa ni tukio la wamasai waliohamishwa kutoka Ngorongoro na kupelekwa kule Handeni, Tanga eneo la Msomera wameonekana pia Ngorongoro wakati huu wa sakata la wamasai...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla. Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa...
18 Reactions
90 Replies
3K Views
Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Bwana Martin Niemoller {1892-1989} anasema "First they came for the socialists and l didn't speak out, because l was not a socialist then they came for the Trade unionists and l didn't speak out...
1 Reactions
7 Replies
462 Views
Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara...
40 Reactions
221 Replies
17K Views
Kweli watu wana ajenda zao.... Channel hii anayofanyia kazi ndugu ODEMBA imeamua kutuonyesha habari ya" vijana wa GenZ "wa Kenya na kuipa mgongo habari kubwa duniani ya mkutano wa baraza hili la...
8 Reactions
144 Replies
3K Views
Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura...
1 Reactions
32 Replies
650 Views
Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa...
22 Reactions
77 Replies
2K Views
Kwako Ndugu Freeman Mbowe. Uwezo wa kusaidia kukomesha vitendo vya utekaji na mauaji nchini unao ila hujaamua "kukasirika" vya kutosha Ndugu Mbowe, wewe ni mwenyekiti wa chama ambao makada wake...
10 Reactions
23 Replies
799 Views
Back
Top Bottom