Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nadhani isishie kujitambulisha tu au kuelezewa kosa lako tu ila tuende mbali kidogo pawepo na mashahidi /kiongozi wa mtaa, ifamike hao wana usalama ni wa kituo kipi na waache vielelezo na wana...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Mwandishi Wetu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa mkakati mzito wa kulifanyia mabadiliko makubwa ya kimuundo na mfumo Jeshi la Polisi la Tanzania endapo kitashika madaraka...
26 Reactions
246 Replies
39K Views
=== CCM YASIKITISHWA KIFO CHA MJUMBE WA SEKRETARIETI YA CHADEMA YATOA POLE. "Nimeona kwenye Vyombo vya Habari kuanzia asubuhi mpaka sasa nitoe pole kwa Chama cha Chadema kwa kumpoteza mmoja wa...
4 Reactions
76 Replies
5K Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Kada wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti, Ndugu Mohamed Ali Kibao. Katika...
1 Reactions
2 Replies
414 Views
Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Siku ya tatu sasa tangu mauaji ya raia kutokea mjini Songea na hadi hivi sasa tayari tumesikia kauli toka Polisi Mkoa wa Ruvuma na uongozi wa kisiasa wa mkoa huo ambao umesema utaunda tume...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Jiji la Tanga limegubikwa na huzuni kubwa mchana huu kufuatia msiba mzito wa ALI MUHAMMAD KIBAO.ALI MUHAMMAD KIBAO alikuwa ni Mtoto wa Sheikh Muhammad Ali Albuhri. Baba yake mkubwa ALI MOHAMED...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Tafakari: Kuna watu kwa bahati mbaya sana wanachanganya matatizo yetu tuliyonayo na mfumo wetu wa jeshi la polisi na hata uongozi na utendaji kazi wake na matatizo na kila Mtanzania ambaye ni...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Jeshi la polisi lina matatizo au mapungufu makubwa manne; mapungufu haya yanasababisha au yamekuwa sababu kuu ya tatizo moja kubwa ambalo bado hatujalipatia ufumbuzi wa...
26 Reactions
69 Replies
10K Views
China imebadilisha uchumi wake katika miongo miwili hadi mitatu iliyopita na kujenga uhusiano wa kibiashara na Afrika. Takriban miongo mitatu iliyopita, sehemu ya biashara ya China na Afrika...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Aliyekuwa mweka hazina wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Taifa, Evelyne Meena, pamoja na wenzake zaidi ya 20, wamejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM). Evelyne na wenzake wamejiunga...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ? Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama. Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye...
3 Reactions
14 Replies
291 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, ametoa wito kwa wananchi wa Ushetu kuendelea kushikamana na chama hicho ili kuleta maendeleo endelevu katika maeneo yao...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Anaandika Ansbert Ngurumo Very important Tip: CCM na polisi jana usiku kuanzia saa 2:37 walijifungia katika ukumbi wa BoT Mwanza kupanga wizi wa kura. 1. Kikao kilianza saa 2:37 2. Washiriki...
46 Reactions
170 Replies
18K Views
Tangu enzi za kale ufalme ambao Leo ni urais kwa tafsiri yetu ya kiswahili mangimeza ulikuwa ukipokea maonyo pale unapokiuka ama kukengeuka kwa namna yoyote ile, watu pekee waliokuwa na sauti...
9 Reactions
28 Replies
842 Views
Najaribu kutengeneza picha ya kihindi tu mimi ndiye director wa film, nitaongea na vijana wangu toka ndani ya idara yangu ambao siyo maarufu na kuwaambia tutengeneze filamu nzuri sana, na nyie...
1 Reactions
0 Replies
182 Views
TISS na Polisi Hufanya Kazi Kulingana na Sheria: Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Jeshi la Polisi hufanya kazi chini ya sheria na taratibu za nchi, zikiwa na taratibu za kiuchunguzi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo. Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti...
12 Reactions
55 Replies
3K Views
AWESO ATEKELEZA MAAGIZO YA DKT NCHIMBI MISUNGWI,AMUONDOA MENEJA WA RUWASA WILAYA MISUNGWI - MWANZA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amemuondoa katika nafasi yake Meneja wa RUWASA wilayani Misungwi...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea Tulimsingizia Magufuli kamteka eti kwa madai msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli, Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je...
15 Reactions
92 Replies
3K Views
Back
Top Bottom