Hiki kifo cha Ally Kibao kimetokea ni kwa vile Rais hakupewa taarifa sahihi kuhusu utekaji na mauaji.
Kwa hali tuliyofikia ya watu wanateka hadharani na kuua eti wakisema "tumekuja kuchukua mtu...
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili...
Wadau nimekuwa nazifuatia mali za CCM wakati wa mfumo wa chama kimoja cha siasa ilikuwa wananchi wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au huna chama ni lazima uchangie Maendeleo.
Wakati wa ujenzi...
Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali.
Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi...
https://www.youtube.com/watch?v=3S9QuDpJOx0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni amesema taarifa za kuwa kuna matukio ya utekaji hasa kwa Watoto Nchini ni sehemu ya kuzua taharuki...
Juzi kati hapa polisi waliwatuhumu CHADEMA kuwa na njama za kuchoma vituo na kuleta ghasia. Tuhuma ambazo zilitolewa na msemaji wa jeshi la polisi.
CHADEMA walijibu juu juu na kukanusha ...
Kwa sasa ukitetea au kupaza Sauti juu ya kinachoendelea na wewe unakuwa kwenye Target List.
Mbunge mmoja wa viti Maalum alitoa hoja juu ya kukithiri watu kuuawa, kupotezwa, kutekwa na watoto...
Friends and Enemies,
Nimeifurahia kauli ya Mh RAIS ya KUTOA pole Kwa Msiba wa Ndug Ally KADA wa CHADEMA kilichotokea hivi karibuni. Inna Lillah waina illay Rajiun.
Rais Samia amefanya jambo...
Agizo hili la Rais kwa vyombo vya Dola yaani kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mkuu wa Majeshi, ni AMRI ya Kirais iliyotolewa na Amiri Jeshi Mkuu.
Tunataraji...
Bajeti ya wizara ya ardhi imepitishwa leo huku kifungu cha kulipana posho ya billioni 47 kutoka kwenye mkopo wa benki ya dunia ambao watanzania wote tutalazimika kuulipa ikipitishwa kwa lazima...
Gazeti la Mwananchi la leo limekuja na habari nzito inayoelezea kuwa sasa hivi Lisu na Mbowe wako kwenye vita rasmi kwani kila mmoja ana amini ya kwake tofauti na msimamo wa Chadema.
Freeman...
Watanzania tujifunze kuwa kimya mtu yeyote akiomba dua au sala kwenye mazishi nk Dua anapelekewa Mungu sio binadamu.
Ni utovu wa nidhamu na kumkosea Mungu sababu hiyo dua au sala mtu akiomba...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amesikitishwa na tabia ya isiyo njema ya kinidhamu ya ulevi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Chato Eng.Mari Misango ambaye amefika...
Historia ya Israel kuhusu usalama wa raia wake inajulikana kwa sera zake kali za ulinzi na kujihami, hasa kutokana na changamoto za kijiografia na kisiasa ambazo zimeikumba nchi hiyo tangu...
Salaamu wanaJF,
Ni matumaini yangu mu wazima, naomba kuainisha mtazamo wangu kuhusu wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani nchini kama ifuatavyo.
TAMU
Asilimia kubwa ya wafuasi wa vyama vya...
Nimewiwa kufikiri "detrimental sequalea" ya kupotea kwa watu na hata kuuwawa. Hili limekaaje katika kuwatisha wageni wetu na athari zake katika soko la utalii.
Kenya wamepitia magumu katika sekta...
Wote lile genge walioshangilia kifo cha Rais wa Tanzania 17/3/2021 anzeni kutubu haraka maana mmejionea wenyewe jinsi watanzania walivyoupokea msiba wa jasusi mbobezi Benard Membe. Mitandao ya...
Tundu Lisu kwenye hotuba zake hazungumzii uchumi, ajira wala viwanda, hawezi kutaja hata maendeleo ya barabara wala vifaa tiba mahosipitalini.
Yeye kwa miaka mitano ni kuelezea tu alivyopigwa...
c&p....DR KIGWANGALA AMPIGA RISASI MFANYAKAZI WAKE NA KUMJERUHI VIBAYA SANA
Mh, Mbunge wa Nzega HAMIS KIGWANGALA Leo 23-5-2023 anatuhumiwa kumpiga Risasi na kumjeruhi Kijana Anayefahamika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.